Mwenyekiti wa baraza la vijana BAVICHA bw PATROBAS KATAMBI akizungumza na wanahabari muda huu hapa katika mkutano wa chadema unaoendelea
-Kufwatia jeshi la polisi Tanzania jana kupiga marufuku maandamano yaliyotangazwa kufanyika na chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA,umoja wa vijana wa chama hicho BAVICHA umeibuka na kusema kamwe hawatishiki na kauli ya jeshi hilo na wapo tayari kwa lolote.
---------
Akizungumza na wanahabari muda huu nje ya mkutano wa kamati kuu ya chama hicho mwenyekiti wa vijana taifa PATROBAS KATAMBI amesema kuwa kauli iliyotolewa na mwenyekiti wao sio kauli yake kwani ni kauli ya chama na wanachama wote hivyo polisi wasihangaike kumkamata mwenyekiti wao na badala yake wajiandae kulinda amani wakati wa maandamano- hayo.
---
tumezoea kusikia kauli za vitisho vya jeshi la polisi wakati chadema inapotaka kufanya kitu cha kuwatetea wananchi wao,ila siku ccm ikitangaza kufanya maandamano ya amani huwezi kusikia kauli kama hizo,sasa tumechoka na mambo hayo na tupo tayari kwa lolote lileamesema mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA
------
Aidha amesema kuwa ofisi yake imeitisha kikao cha dharura kwa ajili ya kupanga mikakati imara ya kuanza maandamano hayo ambapo amesema kuwa yatafanyika nchi nzima bila kikomohuku akisema -yataanza muda wowote kuanzia sasa.