BAVICHA Wapiga Tatu Kwa Mpigo Kujiimarisha

BAVICHA Wapiga Tatu Kwa Mpigo Kujiimarisha

Safiii Bavicha nyie jiimarisheni achaneni hawa wasaka tonge wanaonunua Nchi kwa hela.
 
Wezi wa CCM weekend hii Watanzania wameshaona jinsi wanavyonunua Uongozi.
 
Ritz Kachanganyakiwa naona amekuwa mzee kifimbo cheza.
 
Kamanda habari ya Mujini ni Arusha mgesubiri kwanza hizi habari zenu za Bavicha.

Arusha leo kuna yule mwizi wa Richmond aliyejiuzulu uwaziri mkuu ambaye wasafi na wachafu ndani ya ccm wameamua kuungana naye kwa njaa za matumbo yao na wewe ukiwa mmoja wapo. Shwa.in.
 
Kamanda habari ya Mujini ni Arusha mgesubiri kwanza hizi habari zenu za Bavicha.

Arusha kuna nini? Au mwamba wa ukweli wa kaskazini mh GODBLESS LEMA ananguruma pale NHC?
 
Matombo morogoro huku jamani kunahitaji ukombozi
 
Back
Top Bottom