BAVICHA wapanua wigo wa vijana kimataifa

Baraza la vijana wa CHADEMA (BAVICHA ) Wamezidi kupanua wigo mpana zaidi Kimataifa katika kuhakikisha inamkomboa kijana wa kitanzania Kifikra,ili kuwa na mawazo chanya zaidi katika kuipigania ya Mwananchi wa Kitanzania.

Akiongea kwaniaba ya vijana wa Chama cha CONCERVATIVE cha nchini Denmark Nichlessen Jensen,ambae ni Mwenyekiti wa vijana wa CONCERVATIVE nchini Denmark,amesema amefurahishwa na utendaji kazi wa BAVICHA na mfumo wa uongozi wa BAVICHA jambo ambalo ataenda kulifanyia kazi katika kuimarisha zaidi mfumo wa vijana ndani ya Chama chake.

Amesema Mikakati na mipango kazi walionayo BAVICHA ni muhimu ikafanyiwa kazi kwakuwa ndio,msingi pekee wa umoja na mshikamano baina ya BAVICHA na Vijana wengine nje ya mfumo wa BAVICHA.Katika kuhakikisha mnafanikiwa zaidi tutawapa ushirikiano wa kutosha pale mtakapo kwama ilikufikia malengo mlio jiwekea katika Jamii hasa msaada wa kuwasaidi vijana mijini na vijijini.

Kikao hicho kilifanyika Makao makuu ya Chama,ambapo pia Nichlessen aliongozana na Katibu wake Michell Sand.Kikao hicho kiliendeshwa na M/kiti wa BAVICHA Taifa PATROBAS KATAMBI ambapo pia kilihudhuriwa na baadhi ya Wadau wa BAWACHA na mjumbe wa Mkutano Mkuu Bi CATHERINE ilikupata uzoefu na kubadilishana mawazo.

Nasiku inayofuata Kikao kilifanyika MOROGORO kati ya Viongozi wa BAVICHA na CHASO pamoja na wageni katika Chuo kikuu cha Sokoine( SUA ).
Mod/Invisible kwa mikono miwili naombeni mpandishe hizi pic mbili kwenye Thread ili zilete mantiki
 
Attachments

  • IMG-20150410-WA0006.jpg
    IMG-20150410-WA0006.jpg
    118.5 KB · Views: 131
  • IMG-20150410-WA0007.jpg
    IMG-20150410-WA0007.jpg
    93.6 KB · Views: 129
Pamoja sana mkuu, labda mods wamelala huenda wakazipandisha juu asubuhi hizo picha-zinatia faraja sana; mkuu taarifa hizi ni muhimu sana kuwa zinakuja humu kama zamani, sijui ila nahisi kamanda makene majukumu yamemzidi sana. Huwa anatokea but si maranyingi, hizi operation za bavicha na chama kwa ujumla ni muhimu sana ikawa inatolewa ratiba kamili humu, na taarifa za hiyo mikutano zika pia japo picha na agenda za mikutano. Ili raia waliomo humu waweze kujua nini chama kinafanya lakini pia hata kuhudhuria mikutano hiyo. Baadhi ya mikutano huwa tunastukia tu imeshafanyika. Asante kamanda kazi yako inaonekana.
mod/invisible kwa mikono miwili naombeni mpandishe hizi pic mbili kwenye thread ili zilete mantiki
 
Pamoja sana mkuu, labda mods wamelala huenda wakazipandisha juu asubuhi hizo picha-zinatia faraja sana; mkuu taarifa hizi ni muhimu sana kuwa zinakuja humu kama zamani, sijui ila nahisi kamanda makene majukumu yamemzidi sana. Huwa anatokea but si maranyingi, hizi operation za bavicha na chama kwa ujumla ni muhimu sana ikawa inatolewa ratiba kamili humu, na taarifa za hiyo mikutano zika pia japo picha na agenda za mikutano. Ili raia waliomo humu waweze kujua nini chama kinafanya lakini pia hata kuhudhuria mikutano hiyo. Baadhi ya mikutano huwa tunastukia tu imeshafanyika. Asante kamanda kazi yako inaonekana.

Asante sana kwa Ushauri wako Tutafanyia kazi yote hayo
 
BAVICHA ya awamu hii wako makini na imara sana. Uongozi makini haupo HQ tu bali hata mikoani na kwenye majimbo.

Big up sana BAVICHA
 
Baraza la vijana wa CHADEMA (BAVICHA ) Wamezidi kupanua wigo mpana zaidi Kimataifa katika kuhakikisha inamkomboa kijana wa kitanzania Kifikra,ili kuwa na mawazo chanya zaidi katika kuipigania ya Mwananchi wa Kitanzania.

Akiongea kwaniaba ya vijana wa Chama cha CONCERVATIVE cha nchini Denmark Nichlessen Jensen,ambae ni Mwenyekiti wa vijana wa CONCERVATIVE nchini Denmark,amesema amefurahishwa na utendaji kazi wa BAVICHA na mfumo wa uongozi wa BAVICHA jambo ambalo ataenda kulifanyia kazi katika kuimarisha zaidi mfumo wa vijana ndani ya Chama chake.

Amesema Mikakati na mipango kazi walionayo BAVICHA ni muhimu ikafanyiwa kazi kwakuwa ndio,msingi pekee wa umoja na mshikamano baina ya BAVICHA na Vijana wengine nje ya mfumo wa BAVICHA.Katika kuhakikisha mnafanikiwa zaidi tutawapa ushirikiano wa kutosha pale mtakapo kwama ilikufikia malengo mlio jiwekea katika Jamii hasa msaada wa kuwasaidi vijana mijini na vijijini.

Kikao hicho kilifanyika Makao makuu ya Chama,ambapo pia Nichlessen aliongozana na Katibu wake Michell Sand.Kikao hicho kiliendeshwa na M/kiti wa BAVICHA Taifa PATROBAS KATAMBI ambapo pia kilihudhuriwa na baadhi ya Wadau wa BAWACHA na mjumbe wa Mkutano Mkuu Bi CATHERINE ilikupata uzoefu na kubadilishana mawazo.

Nasiku inayofuata Kikao kilifanyika MOROGORO kati ya Viongozi wa BAVICHA na CHASO pamoja na wageni katika Chuo kikuu cha Sokoine( SUA ).

Wadanganyeni wajinga wenzenu
 
Tupo pamoja makamanda mpaka kieleweke npo huku naelimisha watu
 
Hao ndiyo vijana wasomi wanaotegemewa kufanya mabadiliko. Kwa hakina nimeyaona, yameshaanza.
 
Chama makini vijana makini bavicha imara ushindi ukawa ongereni sana vijana wenzangu
 
Halafu baada ya wiki mbili nanyi muende "ziara ya mafunzo". . . . . . . au "kuitikia wito/mualiko". . . . . . . .
 
Baraza la vijana wa CHADEMA (BAVICHA ) Wamezidi kupanua wigo mpana zaidi Kimataifa katika kuhakikisha inamkomboa kijana wa kitanzania Kifikra,ili kuwa na mawazo chanya zaidi katika kuipigania ya Mwananchi wa Kitanzania.

Akiongea kwaniaba ya vijana wa Chama cha CONCERVATIVE cha nchini Denmark Nichlessen Jensen,ambae ni Mwenyekiti wa vijana wa CONCERVATIVE nchini Denmark,amesema amefurahishwa na utendaji kazi wa BAVICHA na mfumo wa uongozi wa BAVICHA jambo ambalo ataenda kulifanyia kazi katika kuimarisha zaidi mfumo wa vijana ndani ya Chama chake.

Amesema Mikakati na mipango kazi walionayo BAVICHA ni muhimu ikafanyiwa kazi kwakuwa ndio,msingi pekee wa umoja na mshikamano baina ya BAVICHA na Vijana wengine nje ya mfumo wa BAVICHA.Katika kuhakikisha mnafanikiwa zaidi tutawapa ushirikiano wa kutosha pale mtakapo kwama ilikufikia malengo mlio jiwekea katika Jamii hasa msaada wa kuwasaidi vijana mijini na vijijini.

Kikao hicho kilifanyika Makao makuu ya Chama,ambapo pia Nichlessen aliongozana na Katibu wake Michell Sand.Kikao hicho kiliendeshwa na M/kiti wa BAVICHA Taifa PATROBAS KATAMBI ambapo pia kilihudhuriwa na baadhi ya Wadau wa BAWACHA na mjumbe wa Mkutano Mkuu Bi CATHERINE ilikupata uzoefu na kubadilishana mawazo.

Nasiku inayofuata Kikao kilifanyika MOROGORO kati ya Viongozi wa BAVICHA na CHASO pamoja na wageni katika Chuo kikuu cha Sokoine( SUA ).

Mkuu Chademakwanza morogoro kuna vyuo vikuu 3, Mzumbe, Jordan na Mzumbe, hiyo CHASO ni kutoka vyuo gani kati ya hivyo?

Note: Mzumbe hakuna CHASO siku hizi, SUA na penyewe hali hiyohiyo.
 
Last edited by a moderator:
Yaani CONSERVATIVE walitoa PESA Kwa CHAGGADOMO ikatumika kuanzia TANZANIA DAIMA leo hili ni GAZETI LA MBOWE
 
Back
Top Bottom