Bavicha vs uvccm

Bavicha vs uvccm

Excy umekuwaje leo mkuu? Peleka siasani bhana!
 
Last edited by a moderator:
Huku ni chitchat mkuu..........................au pilau ina alcohol mkuu?
 
hahahahahaha...icje ikawa ni mbulula...
 
Huku ni chitchat mkuu..........................au pilau ina alcohol mkuu?

chezea pilau na kitimoto na safari bariiidi. Mungi pambaneni hiyo kata ikombolewe..
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni UVCCM Damuuuu! Hao hawana vyama mkuu ndo maana wanashindwa kukujibu
 
Nilitegemea kuona uwezo wenu kupanga hoja kama viongozi vijana wenye malengo ya kulikomboa taifa kwenye janga la viongozi uchwara kumbe nyie ndo hamna kitu.
 
Back
Top Bottom