Vile vingine hatuna ushahidi, lakini hiki CCM tuna ushahidi wa wazi kabisa kwamba kimeshindwa hata kupambana na wale kiliotaja maadui wakubwa zaidi ya miaka 50 iliyopita: MARADHI, UJINGA na UMASKINI. Data zinasema hivi: Tanzania ni nchi inayoongoza kwa uongo duniani (Uongo unaandamana na ujinga); Tanzania ni moja ya nchi maskini zaidi duniani (ni miongoni mwa nchi ambazo watu wake wanaishi chini ya dola 1 kwa siku), Life expectancy ya Tanzania ni miaka 45 -50 (Hii inaonyesha wazi kwamba huduma za afya ziko chini sana.
Kwa hiyo kujadili chama gani bora huku ukiwa unajua data hizo hapo juu, nao ni ujinga mwingine, kwa sababu Tanzania haijawahi kutawaliwa na chama kingine tangu ipate uhuru.....