BAVICHA vs UVCCM {Tanzania)

BAVICHA vs UVCCM {Tanzania)

Don san tan

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
575
Reaction score
443
Jamani naomba wale UKAWA kindaki ndaki hasa wale BAVICHA waje hapa tulumbane kwa hoja na sisi UV CCM kuhusu chama gani ni bora kuliko kingine. Karibuni sana wapendwa. UV CCM naona hamtauangusha uzi huu. wapi BAVICHA nanyi najua mtafurukuta ili mpate kushinda.

Karibuni sana.


By Mwenyekiti mtarajiwa wa UVCCM Taifa.
 
Kwahiyo mnataka vijana tu? Haya ngoja tuwasubiri
 
Kwahiyo mnataka vijana tu? Haya ngoja tuwasubiri
Katika siasa kila mtu ni kijana, hata Febr. Marope, Zitto, Nchemba bado ni vijana tu. Usihofu hata kama upo 50+ bado ni kijana!
 
Mnashindanisha nini kama Office za Chadema pale Ufipa hata office ya Mtendaji wa mtaa wa Kivukoni ni nzuri.
 
Wavu wa sasa ni kokoro...haujalishi wewe BAVICHA, UV-CCM au naniu wote twatiwa nyavuni na twaipigishwa namba...HAMNA WA ZAIDI YA MWENZAKE.
 
LOFA na MPUMBAVU katika ubora wako Mkuu. Mbona povu lakutoka Jamaa yangu.... wewe au ni BAWACHA?
Huyo atakuwa UWT yale ma mama yanayogawa uroda kama njugu! Ila UVCCM watajitokeza kweli? Mleta mada ungechagua wachache kila upande ili walumbane sisi wengine tuwe watazamaji! Kwa mfano UVCCM ungemtaja yule dada wa Mombasa Shaka aje na wenzake watano, BAVICHA ukamtaja Ben, Malisa nao waje na wenzao watano malumbano yaanze!
 
Back
Top Bottom