BAVICHA ,UVCCM wamtembelea sheikh Ponda Muhimbili

BAVICHA ,UVCCM wamtembelea sheikh Ponda Muhimbili

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
285396_451531811612130_682145691_n.jpg

John Heche akiwa na sheikh Ponda leo
 
Mbona umeweka picha ya Heche tu, halafu unasema Bavicha na UVCCM?
 
Je, huyo naye wanataka kumuunganisha awaongezee nguvu kwenye M4C?
 
sheikh ponda ni nani hata atembelewe hospital jamani? halafu wala hampendezi! hebu jirudishieni wenyewe muone kama nyie mngelazwa sheikh ponda angefanya nini juu yenu! chadema mmeanza cheap politics!shame on you

mix with yours
 
Kutembelea wagonjwa ni suala la Ibada, halina siasa, Heche anaamini kuwa kuna Mungu anayefundisha tuwapende jirani, tutembelee wagonjwa na wafungwa. Wanasiasa nao wana dini. Suala la kufikiri kwamba ukiwa hospitali Ponda angekuja au la, sio jukumu la Heche au mtu mwingine, suala kanuni ya msingi ya mfundisho kwa mujibu wa Teolojia/Tauhidi niliyosomea ni kutendea mema wengine kadiri ambavyo kila mmoja angetamani kutendewa mwenyewe.
 
kura na kula kote kunafana.
naweza uona unafiki machoni mwa huyo mgambo aliyesimama pembeni mwa kitanda.
sijajua ni mgambo wa wapi
 
kumbe kelele za jamvini zinasaidia ee! kumbe inawezekana samaki kutembea mchangani?
 
kama ningekuwa mie heche ningemwambia ponda kuwa pamoja na yote.....asipende sana kutamani kuwa mwanasiasa.........
 
Si afadhali ya Heche,Je Lipumba alishawahi kumtembelea Padri Mkenda hospitali,Yule aliyepigwa risasi Zanzibar?Mbona itakuwa ni sawa na paka kuogelea baharini!
 
Allah ampe unafuu mapema na mapambano yanaendelea.no retreat no surrender
 
Hivi si kuna mtu katuambia humu jamvini kuwa Sheikh Ponda kishapelekwa Segerea???
 
sheikh ponda ni nani hata atembelewe hospital jamani? halafu wala hampendezi! hebu jirudishieni wenyewe muone kama nyie mngelazwa sheikh ponda angefanya nini juu yenu! chadema mmeanza cheap politics!shame on you

mix with yours
Kwa hiyo ni nani anapaswa kutembelewa hospitali??Kwa nini uulize shekhe Ponda ni nani??Kwanza ni shekhe hivyo anao watu anaowaongoza.Pili ni Mtanzania.Tatu ni Baba wa familia.Nne ni Jirani.Tano ni Mpigania Haki za hilo kundi lake.Sita ni Rafiki. Na mengine mengi sana kuwa Shekhe Ponda ni nani??????Kama unahitaji nikuongezee kuwa ni nani ni PM.
 
Ponda ana msimamo sawa na CHADEMA juu ya namna CCM wanavyotugawa na kutaka kutengeneza dhana kwamba kuna ugomvi kati ya WAISLAM na WAKRISTO kwa manufaa ya ccm... Hata Morogoro alifafanua kwa urefu ikiwemo kitendo cha kuundwa kamati ya ulinzi kwa ajili ya kusimamia ibada, kukagua hutba na kuamua nini cha kuhutubia. Ponda amekuwa mtetezi huru asiyefungamana na kundi lolote.
 
Safi sana wambie ukweli, wamekua wakipambana na watetezi wa haki na kutaka kiwanyamazisha kwa kuwabambikia kesi na ata kuwadhuru ! Sisi watz Tunaelewa ukweli wote na ipo siku mwisho wa kukandamizwa utafika
 
sheikh ponda ni nani hata atembelewe hospital jamani? halafu wala hampendezi! hebu jirudishieni wenyewe muone kama nyie mngelazwa sheikh ponda angefanya nini juu yenu! chadema mmeanza cheap politics!shame on you

Mkuu atakae kuzika humjuai
 
Back
Top Bottom