Naamini vikosi hivyo vinatosha kabisa kuzuia mkutano huo wa CCMWaacheni WAENDE...Kwani wako wangapi...... vikosi vya ulinzi vipo vya kutosha! Dodoma tuna vikosi kadhaa vya JW, FFU, JKT ambavyo vina kiu ya muda mrefu ya kufanya mazoezi!
Vikosi ni kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi na wenye nchi dhidi ya magenge ya wahuni na majambazi.Naamini vikosi hivyo vinatosha kabisa kuzuia mkutano huo wa CCM
Kikundi kinachokaidi amri halali ya polisi kinaitwaje?Bila shaka ni kikundi cha kihalifu,haijalishi nani yupo!TEH TEH BORA USHAURI WAENDE MAHAKAMANI
Si kulinda wananchi, ni kulinda wenye nchi.Vikosi ni kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi na wenye nchi dhidi ya magenge ya wahuni na majambazi.
Tukio la sukari linamaliza miezi sita hadi leo halijaisha,nchi inayoongozwa kwa mihemko kama hii haiwezi ishiwa MATUKIO,sawa jes..ca??Mnatia huruma wazee wa matukio. Hivi ikitokea siku matukio yakaisha wapenzani hasa chadema mtaongelea nini?
Mkuu mwandeko,hapo kuna lugha zaidi ya huo uoga wake uliouona!!pitia vzr utaelewa kituhapana anaonekana kua muoga
Real magic can never be made by offering someone else's liver. You must tear out your own, and not expect to get it back.Bavicha mkienda Dodoma mjue tayari mtakuwa mmevunja amri ya Polisi na mtukufu ya kuzuia mikusanyiko au mikutano ya kisiasa na hatimaye mtatiwa hatiani kwa kuvunja sheria kwa kuwa sasa hali ya usalama sio nzuri Kama ilivyo tangazwa.
Tumieni Akili hata kidogo tuu, hivi mkienda huko Dodoma halafu mkavamiwa na Alsha baby au Alqaeda mkauawa mtamlaumu nani? Sisi sote tunao wajibu wa kutii sheria bila shuruti.
Chama kitakacho Fanya mikutano au maandamano kwa sasa hicho chama ni kikaidi, kiburi, na ni adui mkubwa Wa Amani yetu. Mambo ya siasa yamezuiwa kwa sasa mpaka itakapo tangazwa tena.
Msipambane na mhalifu anayetaka kuvunja sheria kwa makusudi, huwezi jua ana jivunia nini na ana siraha gani za kujihami, unaweza ukaenda wewe RAIA mwema na mapanga kumbe Adui ana siraha Kali za kivita mkaangamizwa.
Dodoma kuna Jeshi la polisi, JWTZ, Magereza, Uhamiaji na mgambo. Majeshi hayo yote yana vifaa vya kutosha kupamba na mhalifu yeyote na kuzuia mkusanyiko usio halali unao enda kinyume na sheria.
Mbona waliweza kuzuia mahafari ya Chaso na mikutano mingine mingi ya kisiasa watashindwa kuuzuia huo Wa CCM? Mbona hamna imani vijana na jeshi lenu tukufu?
Pelekeni taarifa polisi hizo za kiintelejensia kuwa kuna kikundi cha watu wahalifu kinapanga kukutana kinyume na Amri halali ya Polisi na mtukufu. Inawezekana polisi hawanasa habari ya kikundi hicho kufanya mkutano kinyume na Amri yake.
Lakini pia Kama kikundi hicho kitayazidi nguvu majeshi yetu yote na kikafanya mkutano wake kinyume na sheria au kikaachwa na kupewa ulinzi au upendeleo ili kivunje sheria basi sasa hapo BAVICHA itabidi mwende Mahakamani kukishitaki kwa kuhatarisha Amani na utulivu Wa nchi.
Mwl. Nyerere alisema "Misingi ya nchi hii imesha tikiswa, tukiendelea kuitikisa itabomoka" mwisho Wa kunukuu.
Karibuni kwa hoja zenye tija kwa taifa.
mambo ya SUKARI, VILAZI na KULA UROJO waachie CHADEMA/CHADOMO....... CCM focus on #hapakazitu#Tukio la sukari linamaliza miezi sita hadi leo halijaisha,nchi inayoongozwa kwa mihemko kama hii haiwezi ishiwa MATUKIO,sawa jes..ca??
Hahaha naona unatamba nyuma ya keyboardKwan huwa wanaandikiwa barua wakivamia ya bavicha?tutajwenda na watuuue kama ndo kiapo cha polisi kinasema hivyo
Ukiona nyani anamchokoza simba ujue kuna mti karibu. Sijui chadema watarukia wapi kwani wanajitafutia balaa kwenda dodoma eti kuzuia mkutano mkuu wa ccm. Mikutano ya kisiasa iliyokatazwa inaeleweka ila cdm wana lao. Wangetaka kuweka hali sawa wangeitisha mkutano mkuu wa cdm kumuidhinisha lowassa kama mwenyekiti wao wa chama waone kama wangezuiwa. Sio eti kwenda kuzuia mkutano mkuu wa ccm. Hapo wanatafuta kick kwa roho za watu kwenda icc.
Kazi ni pamoja na kuficha sukari na kupandisha VAT ili MWANANCHI aisome namba vyema??mambo ya SUKARI, VILAZI na KULA UROJO waachie CHADEMA/CHADOMO....... CCM focus on #hapakazitu#