Bavicha msiende Dodoma Chonde!!

Hivi wewe upo uv ccm imani au uvccm maslahi?
 
Mkuu umemuelewa lkn lituye?
 
Alsha baby ndio nini?
 
Mkuu Mmawia, nimemuelewa vizuri kabisa! Wewe chukua hiyo posti yangu ichanganye tu na ya Lituye utagundua zitachanganyikana vizuri tu!
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, unachanganya kwa kompyuta?
 
"Ukiona nyani anamchokoza simba ujue kuna mti karibu". Ujasiri wa chadema kwenda Dodoma kutibua mkutano wa ccm ni wa hali ya juu. Kuna kitu wanajiamini nacho, hiyo itakuwa jino kwa jino na sijui mwisho wake utakuwaje?
 
"Ukiona nyani anamchokoza simba ujue kuna mti karibu". Ujasiri wa chadema kwenda Dodoma kutibua mkutano wa ccm ni wa hali ya juu. Kuna kitu wanajiamini nacho, hiyo itakuwa jino kwa jino na sijui mwisho wake utakuwaje?
Kinachotafutwa hapo ni haki tu
 
na kufanya mahafar ni mkutano wa kisiasa?
 
Chimwaga sasa hivi ni jengo la chuo kikuu Dodoma, halitumiki kwa mikutano ya CCM tena.
 
Waacheni WAENDE...Kwani wako wangapi...... vikosi vya ulinzi vipo vya kutosha! Dodoma tuna vikosi kadhaa vya JW, FFU, JKT ambavyo vina kiu ya muda mrefu ya kufanya mazoezi!
 
rais kasema mikutano ya kisiasa mpaka 2020, amesema sasa hivi ni kazi tu. Jeshi la polisi limesema hali ya usalama nchini kwa sasa hivi ni mbaya sana, kwa hiyo mikusanyiko ya kisiasa ya nje na ndani yote hairuhusiwi. Kama wamekataza mahafali..hiyo mingine inaruhusiwaje? kifupi Magufuli alimaanisha kwamba harakati za kisiasa za wapinzani hazitakiwi nchi hii. Halafu lile jina aliloitwa na yule jamaa linawasha namna gani wakati ni ukweli tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…