BAVICHA Kuzungumza na Vyombo Vya Habari

BAVICHA Kuzungumza na Vyombo Vya Habari

Hawana lolote la kujenga watazungumzia matukio yaliyotokea wiki mbili hizi. Kuwasikiliza ni bora usikilize redio mazungumzo baada ya habari.
Watanzania wamechoka na siasa za drama wanachotaka ni maendeleo tu chini ya kichwa Pombe Magu.


Ni afadhari ukachukua kiti na kukaa na kutulia nje ukiangalia rangi iliyopakwa ukutani ikikauka, unaweza kupata kitu kuliko kuwasikiliza bavicha.
 
huku ndo ruzuku inapoishia unawezakuambiwa hicho kapress kinatumia 45m
 
The lst time BAVACHA walimwita Mr Lowassa aongee na Taifa kupitia BAVACHA aliwahutubia for exctly 10 minutes (50% shauri ya cooked up "makofi" watu gani hawa wanapiga mkofi badala ya vigelegele?).

AAAH KAMA NI MAPENZI HAYA NI MAHABA. ASANTENI SANA, ASANTE HALIMA.

NAWAOMBENI KURA ZENU. NYOSHA MKONO KAMA UTANIPIGIA KURA.

KUNA MENGO YA KUSOMA HAPA SIYO NAFSI YAKE.

PEOPLES!!!
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kesho siku ya Jumanne kuanzia saa6 Mchana ,katika Makao Makuu ya chama,

M/kiti wa BAVICHA Taifa atazungumza na waandishi wa Habari, juu ya Hatma ya Vijana na Serikali ya Magufuli na mambo mengine ya Kitaifa na Kimataifa.



Tunaomba ushirikiano wako katika kulifanikisha hilo.

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa.
Wrong political strategy, tuna mambo mawili mzito kitaifa na yanahitaji airtime ya kutosha.
1. Tamko la Baraza kuu la CUF kuhusu Zanzibar
2. Repoti ya CAG, vyombo vya habari na social media zinahitaji muda wa kuidadavuwa ili Dr Dau na wote waliohusika wafikishwe mahakamani mapema.

Sijaona mantiki ya nyinyi kutaka kutuvurugia mtiririko huu wa matukio, naanza kushawishika kweli Bavicha hamna kitu ningekuwa mwanachama wa Chadema ningelianzisha kwenu, hivi huyu Sembeye ni ccm ameingia Bavicha lini na kuzawadiwa hiki cheo? Ujinga huu hawa waliokuwa wanabeza miaka yote ndio leo mnawapa vyeo kirahisi hivi?

Kama nachanganya majina naomba nisahihishwe lakini kama huyu ndio yule Admin wa Tanuru la fikra nasikia kichefuchefu hata kutapika, hao ni wafuasi wa Lowasa na siyo wapigania mabadiriko kama sisi ambao tumemtosa hata Dr Slaa kwa kusimama upande tunaoamini.
 
huku ndo ruzuku inapoishia unawezakuambiwa hicho kapress kinatumia 45m
More i naomba niwaulize nyinyi Uvccm na hao wanajiita Bavicha, hivi mna kazi halali za kufanya au siasa ndio full time kwenu? Maana inawezekana kuna kitu hatukijuhi nyinyi wahusika mtujuze ili tuwaelewe vizuri.

Ila wewe sijui na wewe ni miongoni wa wale 46 Kikwete aliyewaombea Magufuli awafikilie au upo kundi gati kati ya hayo?
 
Hivi UVCCM ipo? Sijaisikia siku nyingi kuacha ile habari ya SHAKA ya huko MOMBASA!
 
asante mkuu , unajua mara zote BAVICHA ikiongea kunakuwa na mtikisiko mkubwa sana nchini , ngoja tusubiri kishindo .
Mtikisiko gani? mnajua mko delusional nyinyi UKAWA...tuko hapa 99% ya atakayongea ni pumba na nina uhakika atatishia kuitisha maandamano ya nchi nzima kwani hiyo ndiyo slogan yao kuu...Na mara zote alizotoa kauli hizo basi hayo maandamano hayajaitishwa... Na hicho kitu kilitegemea kwani kuanzia sasa mtakuwa na alternative press conference kila wiki ili ku remain relevant...
 
Mtikisiko gani? mnajua mko delusional nyinyi UKAWA...tuko hapa 99% ya atakayongea ni pumba na nina uhakika atatishia kuitisha maandamano ya nchi nzima kwani hiyo ndiyo slogan yao kuu...Na mara zote alizotoa kauli hizo basi hayo maandamano hayajaitishwa... Na hicho kitu kilitegemea kwani kuanzia sasa mtakuwa na alternative press conference kila wiki ili ku remain relevant...
mapovu ya nini sasa ? subiri kwanza .
 
Lazima kuwe na mtikisiko mkubwa nyumbu wote wanalazimisha kuvuka kwa pamoja kwenye mto huku mamba wamejaa unadhani kitatokea nini zaidi ya mtikisiko.

Cc; haa mym
mamba ambao ni wabunge wala rushwa wa ccm , waliojaribu kulindwa na chama lakini ikashindikana , kweli huo ni mtikisiko .
 
Back
Top Bottom