BAVICHA Kuzungumza na Vyombo Vya Habari

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kesho siku ya Jumanne kuanzia saa6 Mchana ,katika Makao Makuu ya chama,

M/kiti wa BAVICHA Taifa atazungumza na waandishi wa Habari, juu ya Hatma ya Vijana na Serikali ya Magufuli na mambo mengine ya Kitaifa na Kimataifa.

Tunaomba ushirikiano wako katika kulifanikisha hilo.

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa.
 
asante mkuu , unajua mara zote BAVICHA ikiongea kunakuwa na mtikisiko mkubwa sana nchini , ngoja tusubiri kishindo .
 
Naona wanatfuta single ya kutokea nao.. Hawaandikwi kwenye magazeti kila siku magufuli tu.
Hamna kitu hawa, JPM keshawajua jinsi ya kucheza nao! Atasema posho zake jioni baada ya bavicha kuongea kisha bavicha watasahau walichodiskas na kuanzisha hoja wanataka kujua suti yake jpm ni kiasi gani!
 
Hili barazala vvichaaa(bavicha)...... au baraza la wwachawi(bawacha )....Vipi mdee kapona?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kesho siku ya Jumanne kuanzia saa6 Mchana ,katika Makao Makuu ya chama,

M/kiti wa BAVICHA Taifa atazungumza na waandishi wa Habari, juu ya Hatma ya Vijana na Serikali ya Magufuli na mambo mengine ya Kitaifa na Kimataifa.

Tunaomba ushirikiano wako katika kulifanikisha hilo.

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa.
 
Hawana lolote la kujenga watazungumzia matukio yaliyotokea wiki mbili hizi. Kuwasikiliza ni bora usikilize redio mazungumzo baada ya habari.
Watanzania wamechoka na siasa za drama wanachotaka ni maendeleo tu chini ya kichwa Pombe Magu.
 
Back
Top Bottom