MY TAKE: kwanini Katibu anasema hakuna mgogoro huku anasema kuna kirusi??? sasa wanaoenda kuwachukulia hatua za kinidhamu wana kosa gani??? inabidi tukubali kuwa kuna tatizo ili tulitibu.
Ni Mchange, Juliana, Mwampamba, Nyakarungu, Saanane, Chagulani na Gwanchele.
Bavicha anzeni kufukuza Masalia wa PM7 na Kamati kuu itamalizia.
hivi huyo jamaa mwenye bold ya bluu hapo juu anatoka tabora eee! sijawahi kumsikia sikia.BAVICHA kuwatimua viongozi wake
MTANZANIA, Alhamisi, Desemba 27, 2012 04:24 Na Benjamin Masese, Dar es Salaam
BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limesema limewagundua wanachama na baadhi ya viongozi ambao ni ‘virusi' na litaanza operesheni nchi nzima ya kuwachukulia hatua za kinidhamu.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa BAVICHA, Deogratus Munishi, alisema hawapo tayari kulea kirusi ndani ya chama ambacho kipo kwa maslahi ya chama kingine na kuongeza kuwa, wameagiza kwa viongozi kuanzia ngazi ya mkoa na wilaya kuwadhibiti.
"Kuna uvumi umekuwa ukienezwa kwamba ndani ya Bavicha Taifa kuna mgogoro, hili si kweli kwani viongozi wote wanafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na tupo tayari kumfukuza mtu yeyote yule anayekwenda kinyume na malengo, dhima na dira yetu.
"Kama tunavyofahamu Bavicha ndio nguzo kubwa ndani ya Chadema, kwani vijana wengi Tanzania ni wanachama wetu, hii inatokana na sera yetu ya kupigania ajira, mfumo wa elimu na matatizo yanayowakabili wananchi wote.
"Kuendeleza Bavicha tunataka kuisafisha kwa kuwachukulia hatua za kinidhamu ila hatua zetu hatuzichukui katika majukwaa tutafanya vikao vya kisheria dhidi yao, tunaomba kama mtu anajijua ni kirusi ajiondokee mapema kabla ya kukumbwa na fagio linalokuja..
chanzo; mtanzania la leo tar 27/12.
MY TAKE: kwanini Katibu anasema hakuna mgogoro huku anasema kuna kirusi??? sasa wanaoenda kuwachukulia hatua za kinidhamu wana kosa gani??? inabidi tukubali kuwa kuna tatizo ili tulitibu.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za CHADEMA lazima utakuwa umemsikia!hivi huyo jamaa mwenye bold ya bluu hapo juu anatoka tabora eee! sijawahi kumsikia sikia.
hivi huyo jamaa mwenye bold ya bluu hapo juu anatoka tabora eee! sijawahi kumsikia sikia.
kuna mtu kanitonya kwamba huyu jamaa naye katoka nchi ya moshi lakini iwe siri yangu.sasa na mimi nilivyo mbea kwani naweza kuweka siri basi!du km angetoka tabora mbona zitto angepona na usingesikia umangimeza huko jikoni
kuna mtu kanitonya kwamba huyu jamaa naye katoka nchi ya moshi lakini iwe siri yangu.sasa na mimi nilivyo mbea kwani naweza kuweka siri basi!
na waliomtuma slaa akamhujuma Halima mdee ili jimbo la kage aligawe kwa mchumba wake naye ni masalia? kazi kweli kweli.hebu ngoja nikapande zangu dala dala sahizi.Na umbea ndiyo fani yenu inayowaweka hapa mjini masalia nyie.
Saanane anaiingiaje hapo katika wasaliti wakati ndiye aliyewaibua na kurekodi mipango yao na ushahidi kauwasilisha ndani ya ungozi wa chama.Naamini wewe ni great thinker, refer post zote kuanzia Mamuaya,Ben,j shonza,Prezzo aka Dogo(Zitto),Machange na utaelewa what I meanNi Mchange, Juliana, Mwampamba, Nyakarungu, Saanane, Chagulani na Gwanchele.