Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,419
- 1,545
Wewe unapambana na nini? Mbona nimesoma post zako zote hauna mbele wala nyuma?jaribu kujenga hoja wacha unyang'au!
Adam malima kwa kuwa na SMG na yule mke wa watu kule Morogoro atapata mboko ngapi au NDIO mpango wa CCM
kukumbatia wahalifu?
wafu watazikana wao kwa wao ndio maana babu anatakiwa aende kwa wanafiki wenzake akaina kinana n.k
mbona unajikanyagakanyaga kijana,Unadhani kufukuza wanachama ni kufukuza nzi?
BABU NDIYE ATAKUWA WAKWANZA KUTIMULIWA KU SASA KWASABABU HANATENA KAULI YA KUMSEMA MWANACHAMA YEYOTE YULE ILI HALI YEYE NI NDUMILAKUWILI.
PIA TEGEMEA BAVICHA MIKOA YOTE KUTOA MATAMKO SIJUI UTAFUKUZA WANGAPI
TEGEMEA WAJUMBE ASILIMIA 50 WA MKUTANO MKUU WA CHAMA WATATOA TAMKO
SIJUI UTAFUKUZA WANGAPI KWA KUTETEA HUYU BABU MNAFIKI WA KISIASA
umeona eeh,huyu jamaa ni mnafiki ajabu,anadai ni mwanachama wa cdm lakini anapenda kuona cdm inasambaratika!njaa ni mbaya sana,sijui ataishije mjini kwani zzk ameshaanza kuwakana lakini yeye bado tu anajipendekeza!
idadi ile ile atakayopata Dr.slaa..Lakini BABU VIBOKO VITAONGEZEKA ANATAKIWA APIGWE MBELE YA MKE WAKE HALALI WA NDOA BI.ROSE KAMILI NA VINGINE MBELE YA MCHUMBA WAKE KIJANA JOSEPHINE MSHUMBUSIUNAFIKI,UONGO NA UNDUMILA KUWILI NI UBAKAJI WA DEMOKRASIA NDANI YA NCHI,KOSA LAKE HILI KWA SHERIA ZA KIMATAIFA IDARA YA UTETEZI WA HAKI ZA VYAMA VYA SIASA NI KUNYONGWA
mbona huwa mnakuwa kubomoa viongozi wengine wa chama chadema hiii hiii ..tena makosa yao ya kutungwa.
lakini babu amekili kwamba anakadi ya ccm,sasa kwa nini tmbembeleze mtu kama huyu.chadema gani inafuga maharamia wa kisiasa?
Yaani babu kwenye hili hatoki lazima apewe makavu,amezoea kuwa msaliti huyu mzee
na kuhakikishia tuntemeke kuwa hata ufanye nini dr hawezi kutimuliwa au kujiuzulu kwa huu upuuzi wako unao ushadadia, hata mkiandamana nchi nzima na matamko mtatoa sana!
Me nawewe tuombe uhai lakini na kuhakikishia kuwa huu ni upuuzi+ujinga utapita labda ubaki kwenye kichwa chako wewe ambacho hakina vya kuhifadhi zaidi ya list za ufitini!
Dr slaa atabaki palepale na kuhakikishia! Tupo!
tanzania imebarikiwa duhhh..hii kitu babu akikiona walllah tutaandika historia nyingine nchinia
Unasingizia wenzio wametumwa wakati ni wewe ambaye umepiga kambi kwenye hii thread na kila page unachangia kati ya mara mbili na tatu!!!
PANDIKIZI MKUBWA WEWE!!!!
Hii single ya dr slaa anamiliki kadi ya ccm ni kazi ya Nape jr.ili wanachadema wamwone dr slaa ni mamluki wa ccm. Na kweli, Nape kafanikiwa! Bavicha mwanza wameanza kuja juu kumtaka slaa 'aachie ngazi' Nashindwa kuelewa inakuwaje mtu mwenye akili timamu aamini kwamba eti dr slaa ni pandikizi la ccm miaka yote hiyo eti kwa sababu ana kadi ya ccm! Nawauliza bavicha: Ni matamshi gani ya slaa yasiyoendana na sera/ falsafa ya chadema? Yaani wanachadema mnashindwa kuona kuwa hii ni vita kali dhidi ya katibu mkuu wenu? Badala ya kuiondoa vita hii mnaiunga mkono? Mimi naona mamluki wa ccm ni baadhi ya wanachadema na sio slaa!
Mimi nasubiri hayo maandamano ya Bavicha, tena kama huyo Magafu anaamini kwamba ana ushawishi kwa vijana anaowaongoza aanzishe maandamano huko Mwanza kabla ya kufikiria nchi nzima kwakuwa ukizungumzia nchi kuna mwenyekiti wa Taifa.
Narudia tena kama hao "vijana njaa" wanadhani wako sahihi na wana uungwaji mkono wa wenzao basi waitishe maandamno mkoani mwanza ama jijini mwanza ili kuthibitisha uungwaji mkono wa vijana wenzao.
hahaaaaaaaa umeshikwa pabaya kama babu alivyoshikwa pabaya.
Tuntemeke pambana nao hawa wanaojaribu kutakatisha kaniki rangi inajulikana
mbona unajikanyagakanyaga kijana,Unadhani kufukuza wanachama ni kufukuza nzi?
BABU NDIYE ATAKUWA WAKWANZA KUTIMULIWA KU SASA KWASABABU HANATENA KAULI YA KUMSEMA MWANACHAMA YEYOTE YULE ILI HALI YEYE NI NDUMILAKUWILI.
PIA TEGEMEA BAVICHA MIKOA YOTE KUTOA MATAMKO SIJUI UTAFUKUZA WANGAPI
TEGEMEA WAJUMBE ASILIMIA 50 WA MKUTANO MKUU WA CHAMA WATATOA TAMKO
SIJUI UTAFUKUZA WANGAPI KWA KUTETEA HUYU BABU MNAFIKI WA KISIASA