BAVICHA ambayo inaungwa mkono na maelfu ya vijana kote nchini tayari ilikwishaandikisha vijana zaidi ya 5000 kutoka sehemu mbalimbali nchini kwenda Dodoma kwa kazi hiyo.
I previously thought you were sober!Mkwala fix huo.Eti tuliandikisha elfu 5!!!!!!!!.Nyooooooo!! Mlianza na elfu 2 baadaye mkapandisha ikawa elfu 4 Sasa elfu 5 ha ha ha!! Acheni mkwala mbuzi huo .Mnaropoka tu bila ushahidi.Mkikutana na waandishi pandisheni kuwa mliandikisha Elfu 10 NA BADO WENGINE WANAENDELEA kujiandikisha!!!!! fix fix fix
Vipi mpambano wa Lizaboni na Mhishimiwa DC Umefikia wapi. Bado wanagombea uongozi kama Mafisi.
Hujui unachokiandika nakuonea huruma sana.Unadhani Bavicha ni sawa na UVCCM ambao hawana ushawishi wowote kwa jamii.Unastahili kuhurumiwa tuMalizeni kwanza mpambano kati ya BAVICHA na Mbowe.Mbowe akitoa agizo kama mwenyekiti wa Chama Taifa kwa BAVICHA badala ya kulitii moja kwa moja kuwa mheshimiwa mwenyekiti kasema ,wao BAVICHA wanamwambia hilo tukikaa vikao vyetu kwanza tutaliangalia ndio tutoe jibu!!! Kwa hiyo wanamponda kuwa alitakiwa alipeleke kwenye vikao sio atamke tu kama mwenyekiti!!! Vitoto vya BAVICHA vimeota sharubu.Mbowe poleeeeeee Una watoto watukutu.Agizo la baba ndani ya nyumba halisikilizwi hadi watoto wakae waongee ndio waseme kwenye kikao chetu tumeamua hivi kwa lile baba yetu ulisema!! LOOO! BAVICHA wangekuwa wanangu ningewapiga nondo kama kufungwa nifungwe.Nini maana ya kuwa baba kwenye nyumba?
Utaenda Dodoma?Hujui unachokiandika nakuonea huruma sana.Unadhani Bavicha ni sawa na UVCCM ambao hawana ushawishi wowote kwa jamii.Unastahili kuhurumiwa tu
Naona mwenyekiti Mbowe keshapoteza ushawishi ndani ya Chadema...sasa ni zamu yake kuitwa msaliti.
Wazazi waliishageuka kitambo. Wanajinadi kuwa sasa cdm kime-graduate toka chama cha uanaharakati na kuwa chama cha siasa. Maba-vichaa yanajitia kichwa ngumu, hayajasoma alama za nyakati.Magufuli saizi yake Bavicha, mkwara wa watoto majeshi yote amehamishia Dodoma! Wangekuja wazazi wao?
Mbowe angekaa kimya asingeeleweke hivyo kazuga tu ila yuko pamoja na vijana wake.Naona mwenyekiti Mbowe keshapoteza ushawishi ndani ya Chadema...sasa ni zamu yake kuitwa msaliti.
Humu ndani uvccm sikuhizi wamebaki 4 tu wengine wamekimbia au sijuwi hawajawezeshwa.Naona uvccm na likes wanaweweseka hapa.. Asante sana Mwanahabari Mwenzangu Molemo