master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
2010 mulishinda??
Jibu la swali lako wanalo iliyokuwa tume ya uchaguzi.
2010 mulishinda??
hao uliwataja kama uliwajua vp kama ni masalia?mambo ya Chadema na wewe gamba wapi na wapi?Acheni umbea tuokoe taifa letu linaangamia,tuambieni ni nani anawamaliza tembo wetu na mambo mengine machafu....
Kama hiki chama kina wasaliti wengi namna hii wangepewa nchi 2010 si ingekuwa balaa!!!
Watanzania walifanya maamuzi ya maana sana kutokuichagua chadema 2010. Mungu awaongoze waendelee kuchagua wisely...[/QUOTE
Bado tuu hawajakuona upewe ubalozi kazi yote uliyofanya kumkandia mgombea uraisi tulidhani ungekuwa Newyork kama balozi wa Tanzania umoja wa mataifa waachwe wasafishwe tuu
Wameachwa wajigaragaze wenyewe mchezo ni kuwaweka rehani tuu ha ha ha penda chezo siasajibuni swali, hivi ni lini cdm watawatimua zitto na shibuda, sisi wanachama ndo tunasubilia hapo, msikimbie mada jibu hoja matusi hayasaidii ki-vile...!!
Ni kama CCM sema nafuu ya CCM wana dola na wanawabana ndani kwa ndani na waganga njaa wengi wametoka CCM kwenda Chadema wakiona masalhi duni wana anza zao .Kama hiki chama kina wasaliti wengi namna hii wangepewa nchi 2010 si ingekuwa balaa!!!
Watanzania walifanya maamuzi ya maana sana kutokuichagua chadema 2010. Mungu awaongoze waendelee kuchagua wisely...
Mwanachama utakuwa wewe?Mwambieni mwenyekiti wenu aende mwanza akampokee na huyo masalia mwingine maana hana la kufanya sasa mpaka anakurupuka kusema nchi ina magaidi....aibu sana !!!Ila athari za maneno yenu haya nyie magamba ipo siku mtazipata tu!!!jibuni swali, hivi ni lini cdm watawatimua zitto na shibuda, sisi wanachama ndo tunasubilia hapo, msikimbie mada jibu hoja matusi hayasaidii ki-vile...!!
Kama hiki chama kina wasaliti wengi namna hii wangepewa nchi 2010 si ingekuwa balaa!!!
Watanzania walifanya maamuzi ya maana sana kutokuichagua chadema 2010. Mungu awaongoze waendelee kuchagua wisely...
Safi CHADEMA safisheni kila salia lililobaki, naona kasi haitoshi. Lini mnawafukuza Zitto na Shibuda?
Hapana huwa sipigi, turudi kwenye mada, lini masalia walioko juu wanaondoka? Shibuda na Zitto ndio waasisi wa kundi la vijana wasaliti na kuna ushahidi wa kutosha lini wanasafishwa CDM?