Kwamipasho weeee! Sikuwezi, enhe tungo hiyo ya nani Adija kopa au niyako mwenyewe?Na mtamaliza kuni kuchochea mawe na hayataiva, hivi mmeshawahi kukaa chini na kutathmini ni kwa kiasi gani propaganda zenu dhidi ya CHADEMA zimewanufaisha!??? au ndo vile mkishatia ndani posho mnakua mmemaliza kazi na kuanza kufikiria jingine la kutoka nalo mkidhani kwamba mtaisambaratisha CHADEMA kwa mtindo huo, I dare say Mtasubiri sana meli airport huku CHADEMA ikichanja mbuga...
Majibu ya maswali yako nenda kamuulize GAIDUna uchungu sana na yanayoendelea CHADEMA ila yaliyoko ndani ya ccm na serikali yenu huyaoni!??, hivi mkishatung'oa kucha huwa mnazifanyia nini!???
Tatizo maandamano yame athiri atendaji kazi wa akili zao. Kila hoja huijibu kwa mipasho.Vijana mliolaghaiwa hamna kabisa uwezo wa kujibu hoja...
Unataka kutuambia mleta mada ni Kiongozi wa CCM?Minadhani mwenzetu kahoji kama mdau wa siasa hakuhoji kama yeye ni CCM, chamsingi nachamaana naingekua busara zaidi kama hoja hii inge jibiwa na viongozi wa CDM sio vifuata upepo,ambao hata yalipo makao makuu ya chama hampajui
Rudio kukisoma nilicho kiandika kabla ya kurukia. Unaharaka ya kunya maji ya kuchambia huna, angalia usije ukachambia pombe ------ yakalewa.Unataka kutuambia mleta mada ni Kiongozi wa CCM?
Kwahiyo kwenye mizani yako wewe Zitto aendelee kuchafuliwa mpaka siku pesa za EPA zitakapokuwa hazijaibiwa?
Kwani wakati waliomchafua Dr. Slaa wanapewa adhabu kulikuwa hakuna pesa za EPA zilizoibiwa?
Tatizo unataka kuwapangia Bavicha kazi.kama wengine walifukuzwa kwa hiyo unataka Ben naye afukuzwe zaidi ya lile kalipio kali alilopewa?.Hapo ndipo uridhike kuwa swala la utawala bora limezingatiwa.
Kwahiyo kwenye mizani yako wewe Zitto aendelee kuchafuliwa mpaka siku pesa za EPA zitakapokuwa hazijaibiwa?
Kwani wakati waliomchafua Dr. Slaa wanapewa adhabu kulikuwa hakuna pesa za EPA zilizoibiwa?
Mkuu hujanielewa!
Mm napinga watu wa CCM kuja hapa na kuanza kutuhubiria kuhusu utawala bora maana kama kuna serikali inayopindisha utawala bora DUNIANI ukiiacha serikali ya JK wanazuoni WATAKUSHANGAA!
Sikuwa na maana kuwa Zitto aendelee kuchafuliwa by any means ingawaje Ben KALIPINGA ANDIKA LAKO!
Zemarcopolo UNAWEZA TUTHIBITISHIA pasipo shaka yyt ile kuwa Ben anamchafua MB Zitto?
Kumbe Bavicha mambo yao haipaswi kuhojiwa!!!
Nazidi kuelewa kwanini miaka 20 tangu upinzani urushusiwe rasmi Tanzania lakini hakuna aliyefanikiwa kupata hata asilimia 30 ya kura za Urais. Wapiga kura wanataka kuona nia ya dhati ya kujenga nchi sio hizi longolongo...
Mkuu samahani, wee unahoji kama nani
Saanane zitto kakukosea nn ?
Wewe CHADEMA imekukosea nini?