Kama waliojibu umeona sio sahihi, aliyekwambia JF ni ofisi ya CDM nani? Mshauri mburura mwenio aende kuuliza ofisi za CDM kama ana uchungu na ZZK our Jembe la ukweli. Mmeshindwa kuwasuluhisha akina Membe na Lowasa na Sitta ila ya Zitto yanawawasha kama nini.Mbona CDM hawajasema kuwa Sitta atendewe haki, kimbelembele tu kwenye ugonvi wa majirani kama mkojo wa asubuhi. Imekula kwenu mtatapatapa sana mwaka huu mlidhani mtatumia migogoro ya ndani ya chama kuiuwa CDM. Mkajipange upya hiyo bado.Minadhani mwenzetu kahoji kama mdau wa siasa hakuhoji kama yeye ni CCM, chamsingi nachamaana naingekua busara zaidi kama hoja hii inge jibiwa na viongozi wa CDM sio vifuata upepo,ambao hata yalipo makao makuu ya chama hampajui
Haya sio maneno ya harakat kabisa, haya ni maneno ya mipasho (taarabu)Kama waliojibu umeona sio sahihi, aliyekwambia JF ni ofisi ya CDM nani? Mshauri mburura mwenio aende kuuliza ofisi za CDM kama ana uchungu na ZZK our Jembe la ukweli. Mmeshindwa kuwasuluhisha akina Membe na Lowasa na Sitta ila ya Zitto yanawawasha kama nini.Mbona CDM hawajasema kuwa Sitta atendewe haki, kimbelembele tu kwenye ugonvi wa majirani kama mkojo wa asubuhi. Imekula kwenu mtatapatapa sana mwaka huu mlidhani mtatumia migogoro ya ndani ya chama kuiuwa CDM. Mkajipange upya hiyo bado.
Haya sio maneno ya harakat kabisa, haya ni maneno ya mipasho (taarabu)
Wewe ni nani mpaka udai kuwa ''unataka kuona haki inatendeka''
Uimara kwa mtazamo upi? Ben kushiriki siasa kwa mgomo wa fulani kukutumia ujue siku ya kutoka kwake katika uongozi ndio na wewe arobaini yako imetimia.Kweli Kamanda.Tutakua imara kuliko wakati wowote ule
Saanane zitto kakukosea nn ?
Kwani akipewa tu jibu la swali lake itakuaje, au atakuaje badala ya kushambuliwa bila jibu la swali, mi nafikri hoja ya nguvu co sahihi, nguvu ya hoja ni sahihi
kaka kazi unayo,unalipwa kiasi gani maana naona unatokwa povu kweli,unatumia nguvu,nyingi mahali ambapo hakuna mafanikio,nenda kaazime trekta ukalime,ningekuwa na utaalam kama ule wa watani zangu wasukuma, ningekuchukua ukanilimie shamba langu kule Bariadi.
Mleta mada sikuombi ujitahidi kujitambua kwani hilo ni jukumu lako,kaa na utafakari pindi mtima wako ukusukumapo kuanzisha uzi basi uwe uzi makini.nawe Zitto puuza mada kma hizi kwani nia na dhumuni lao wana gAMBA ni kuhamishia lile pepo lao la mafarakano ndani ya Chadema.nanyi wana Chadma puuzeni wala msichangie nyuzi km hizi,wakianzisha wachangie wenyewe na uwizi wenu wa hela za walala hoi.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ninachotaka kuona ni HAKI inatendeka, misingi ya Usawa na Utawala Bora inaheshimiwa.
Post yako imenikumbusha neno "incoherent".
sio @incoherent sema @incoherence ww gamba vipi?
Kuwaambia walio pora fedha za EPA wazirudishe ndiyo utawala bora kwako au!Wezi wanapewa nafasi ya kufikiria kurudisha walichoiba ndiyo utawala bora kwako au!Zemarcopolo una anza na ww kuhamishia akili zako kwenye "tumbo" nahisi!