Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
ulimilikishwa na bibiyako huko kinondoni nzima had useme kwenu
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Kila mtu ameshachoka kuisikia CDM kinondoni kinondoni...kama Kodi za pango za maeneo kama Ilala zinawashinda, tuambie tutawachangia
Mkuu Rejao,
Kwani hapo Kinondoni ni jengo lao au wamepanga tena?
Siku zote walikuwa wapi? wenzao wanawekeza kwenye ma high rise wao ndio wanaanza na nyumba ya vyumba sita?

Hawana ubavu wa kumiliki jengo lolote hapa jijini. Wamepanga kama kawaida yaoMkuu Rejao,
Kwani hapo Kinondoni ni jengo lao au wamepanga tena?
Hawana ubavu wa kumiliki jengo lolote hapa jijini. Wamepanga kama kawaida yao
Kwani ruzuku zote zinakwenda wapi wanazopewa ni aibu chama kikubwa kama Chadema, kupanga upande wa nyumba halafu watu wanashangilia kama hatua ya mafanikio.
Mbona mnaulizana na kupeana majibu wenyewe kama maigizo au waimba taarabu vile?tutajieni majengo matano ambayo c.c.m wamemiliki kwa nguvu zao wenyewe bila ya kusurutisha nguvu za wananchi katika kipindi cha mfumo wa chama kimoja?kama kupanga vinapanga vyama vikubwa duniani na vilivyo smart kama Labour Uk ndio iwe Cdm?msiwe watu mliofilisika kisera kichwani kiasi hiko!msitake kujihalalishia kua nyie ni vichwa box

Mkuu, kwa hiyo suala la kupanga vyumba mmeiga kutoka chama cha Labour cha uingereza?
Mkuu unavuta shuka wakati kushapambazuka? tene kwa taharifa yako mwaka 2015 ilo jimbo linachukuliwa na CDM
Kila mtu ameshachoka kuisikia CDM kinondoni kinondoni...kama Kodi za pango za maeneo kama Ilala zinawashinda, tuambie tutawachangia
Weka ushahidi wa kuonyesha kua kila mtu amechoka kuisikia Cdm kinondoni, plz!
Mkuu, kwa hiyo suala la kupanga vyumba mmeiga kutoka chama cha Labour cha uingereza?
Ofisi yenyewe chumba kimoja{ft 5*5}
kinondoni kwa kuwa wapiga kura wake hawadanganyiki kwa ubwabwa kama ccm inavyowadanganya ilala na temeke!Hawana ubavu wa kumiliki jengo lolote hapa jijini. Wamepanga kama kawaida yao