BAVICHA hakukaliki! Viongozi wa juu waandaliwa maandamano nchi nzima...

njaa ni kitu kibaya sana......... kwa hali iliyopo ni kama ndani ya BAVICHA kuna tatizo kubwa sana la njaa lililogundulika na maadui wa CDM na kuamua kupenyeza rupia kunapo uzia.
on other hand huyu jamaa anaweza kuwa na logic but njia anayotumia sio sahihi, nasema hivyo kwa sababu suala kama la wahamiaji kutoka CCM kuwemo kwenye ziara za M4C linaonekana wazi japo ndio wanamwaga baadhi ya vitu vya ndani vya magamba sio lazima wawepo kwenye ziara zote.
pili kama tunawatukuza hao waliojivua gamba na kuvaa gwanda huku tukiwasuffocate hawa ambao wamekuwapo kwenye mapambano muda wote juani we should expect retaliation from them na swala zima hapa ni njaa maana mtu anataka ziara na kuhudhulia vikao kwani kuna associated benefits.

MY TAKE:
  • lazima kuna udhaifu katika menejimenti ya chadema na organs zake " hili nahisi limetokana na kuzidiwa na mzigo wa ukombozi au mbio za urais kuchukua muda wa watendaji wakuu. nasema hivyo maaana chadema niliyoipenda na kuizoea inaaza kufifia taratibu.... (TOO PAINFUL)
  • iko wapii miiko na fimbo iliyowalea kina Mbowe, Zito, Mdee, Mnyika maana naamini walikuwa/ni Vijana waliojijengea sifa sio kwa kuropoka kipuuzi kama hawa wa sasa tunaowaona humu Jf.
  • iko wapi Fimbo iliyomchapa kafulila alipoleta mchezo.
  • na nyie mnaoropoka kipuuzi bila kufuata kanuni na katiba ya CDM mlioapa kuilinda na kuitetea mjue mmepewa plivillege ya uongozi wa BAVICHA ambalo ni tanuru la fikra na mawazo ya kumkomboa kijana na mtanzania kwa ujumla muache kujifanya watu wasiofikiri vema. maana mengine yanasikitsha mtu anajieleza kama hajawahi kuliona darasa kabisa au uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kabisa mkiona mmenyima uwezo wa kukitumika chama jihudhuru sio ukiue watu tuko huku tunakitegemea na mkiondoka mjue nafasi zenu zitajazwa tu p*****u kabisa. ukiuliza toka awe katibu tanga amefanya nini hapo tanga atajiuma uma tu.. halafu anataka ziara na mikutano fanya kazi uheshimiwe kwa kazi sio kulialia S****i!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! we unataka uraisi halafu unashindwa .......................................................
KAMA TUNAKITAKIA MEMA CHAMA CHETU TUJIFIKIRIE UPYA KUNA MAHALI PANA TATITO...DR. SLAA pliz do something pliiiz.
 
Ndugu Deogratius Kisandu aliyeshika Kadi, Kulia kwake ni Ndg. Florian Rutayuga ( Afisa Utawala wa Chama) na Katikati ni Ndugu Faustin Sungura (Kaimu Katibu Mkuu)
 
Hawa wasaliti wanahangaika sana, sasa huyu Deogratius Kisandu ataratibu maandamano hayo akiwa NCCR au CHADEMA ?.
Mtasema sana lakini CHADEMA inasomga mbele na hakuna wa kuizuia
 
Back
Top Bottom