BAVICHA,CHADEMA & UKAWA hamkupata funzo lolote to kwa Mh. Dr W.Slaa?,Basi niulizeni mimi!

okonkwo jr

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
2,419
1,737
Amani ya bwana itawale kwenu wapendwa,

Nimekuwa nikitafakari kwa makini sana siasa za upinzani toka mwaka 2010-2015,mengi nimejifunza ikiwemo ubinafisi na uchu wa madara kwa viongozi wa upinzani,nakumbuka mwaka 2010, nikiwa mimi mama mshumbusi, Dr. slaa na wapenzi wanazi wa CHADEMA pale Arusha tulipopigwa mabomu na kuumizwa yote ikiwa kukikuza chama chetu,tangu hapo mpaka mwaka jana tulikuwa na uhakika wa kuchukua dola.

Lakini cha ajabu ndugu F.Mbowe(mzee wa gia za angani) akapangua na kumuuzia chama mtu ambaye hajui chama kilianzia wapi na kuishia wapi na tena mtu mwenye kashifa nzito za ufisadi,toka hapo nilijifunza kuwa siasa za upinzani ni zile za kuumizana na kuhimizana kushikamana wakati wa tabu,ila wakati wa raha wananufaika wachache(akina mbowe na washirika wake)

Kwahiyo BAVICHA inawapasa kuwa makini sana na mbowe kwa wakati huu kwani watapoteza muda na kuumia ila hawatafaidi matunda ya juhudi na harakati zao,kama hawaamini wamuulize @Dr W.Slaa ambaye ni mkongwe wa sera za upinzani nchini
 
kuna maisha baada ya uchaguzi ila hatuwezi hama chama kisa Dr.Slaa kuna merits and demerits hata mtu unapofiwa kumbuka kuna maisha yanaendelea.
 
1468071609851.jpg
 
Back
Top Bottom