anna maria
New Member
- Nov 17, 2012
- 2
- 0
Wadau mwaka jana mtakumbuka jinsi Mama Kilango alivyopiga kelele kuhusu usafirishaji wa madini ya bauxite kutoka Same kwenda Kenya! Uharibifu mkubwa wa mazingira / uchafuzi wa vyanzo vya maji vilisababisha hadi Waziri Mkuu kuingilia na kuzuia kadhia hii!
Cha ajabu sasa,malori yapatayo 30 yenye uzani wa tani 30 kila moja yanasomba bauxite usiku kucha toka same kwenda kenya! Chungulia malori hayo kwa nyuma utakuta yameandikwa - wajinga ndio waliwao, Usimwamshe aliyelala etc.
Wadau naomba kuelezwa kama kuna sehemu yoyote katika nchi zinazotuzunguka ambapo Tanzania tunanunua malighafi yenye madini! Hapa naona waziri mkuu,mkuu wa mkoa na mbunge mama kilango wameshafungwa mdomo! Masikini warombo barabara yetu ndio ina mwaka tu sasa!