Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,216
- 3,692
Katika pitapita zangu mitandaoni nilikutana na mjadala huu enzi za utawala wa mzungu na enzi za utawala wa mtu mweusi ambao ni sasa ndani ya bara la AFRICA UPI BORA AU UNA UNAFUU......
1.WAkati wazungu wanatutawala wa wa WAAFRICA TULIWAITA WAKOLONI lakini wazungu kipindi wanatawala walifanikiwa kujenga shule, vyuo vikuu, elimu ilikuwa bure, ajira zilikuwepo, walijenga barabara lakini tuliwaita wakoloni kwa sababu tulikuwa tunataka kujitawala .
2.wakati wa utawala wa mtu mweusi tunajitawala tulikubaliana tunamuondoa mkoloni ili tuweze kujitawala lakini baada ya kukamata utawala kuna viongozi na vyama vya siasa wamegoma kuondoka madarakani kwa sababu wanataka kutawala milele lakini pia hali ya maisha ngumu wanateseka kuna watu wanateseka kama kipindi cha mkoloni.......
Je upande wako unadhani upi bora kati ya mkoloni na mtu mweusi katika utawala