Battle royal: Kampala vs Dar es Salaam

Kweli ukubwa wa makalio si wingi wa kinyesi. Darislum is large but so unplanned. Kampala is compact and so beautiful. Planned city.
hahahahahahahahahaaaaaahhaahahahha naona mmeamia next door. Waoneni waganda kama supporters wenu ila wamechoka kuokota makombo chini ya meza yenu sasa wachukulieni poa ila watawatimua kama kwenye uzi mlioukimbia msio na kwenu nyie
 
Keep on licking white asses little bro. Just like the French, Germans, the Japanese, we are proud of our language. What do you have? Eti uchumi wa kenya ni nchi zote za East Africa combined, bro, endelea kujiconsole na utoto wenu, hizi nchi unazodharau ndio zinakua kwa kasi na ndio maana wamewadump, hamna marafiki tena na kwa hii trend sitashangaa kama mtaanguka bilakujijua maana mmeshaanguka tayari
 
Poteeni huko hatujawaomba mje kujikomba huku
 
Hakuna kitu unaniambia wewe,ukweli uko WAzi...
Porojo za countries za madikteta zisikugandishe akili old man.
 
Hakuna kitu unaniambia wewe,ukweli uko WAzi...
Porojo za countries za madikteta zisikugandishe akili old man.

Apart from hizi story za kutuandikia,ni kipi unaweza onyesha watu kwamba uchumi wa kenya ni imara sana,ukiringanisha na nchi zingine.
 
Hakuna kitu unaniambia wewe,ukweli uko WAzi...
Porojo za countries za madikteta zisikugandishe akili old man.
Wewe tuliza mdomo, mnaona maendeleo yanafanyika kwetu vimdomo vinawawasha sana sasa suburi, you'll just get used to it.
 
Kampala vs Dar es salaam?!
I do not think if you have to be in your right mind to even consider comparing the two.

Kampala city area 180sq.km
Dar es salaam 1300sq.km thats 7times your so called Kampala. Now imagine the length of infrastructure in a city covering 7times that dingy place..

About the suburbs.. The 20000plots project alone covers close to 30sq.km that alone is about 1/6th of your city and that does not include kijitonyama,sinza, mikocheni, mbezi beach, tabata, chang'ombe ,msasanj masaki kibada, mikwambe all of them together covers easily the whole of Kampala and Entebbe all together..

#peace
 
Paris is 150km², New York is 750km², Dar es Salaam, 1300km². Do u then mean that given its size alone, Dar has more infrastructure than those two cities? Bure kabisa!
 
Lete picha wacha maneno
Picha si ndizo hizo nilipost humu nyingi tu? Ila nyinyi watz mnajitia aibu sana sana sana.
Nchi yenyu yenye ukwasi mkubwa hivyo, pamoja na amani tangu kuisha kwa wa vita vya Majimaji, mbona nchi iko kishaghala baghala namna hii?

Yaani iweje ati hata hizi hizi Uganda na Rwanda ya miaka na mikaka ya vita na misukosuko ya kisiasa iwashide katika mipangilio miji na miundo mbinu?
 

Mpangilio ni nini wewe???unasaidia nini??uganda au rwanda ineizidi nini tz baada ya kuwa imepanga vyema miji yake??

Ukweli mkubali nao au muuwache,dar is now leading city in EA pamoja na kupangwa vibaya.
 
Paris is 150km², New York is 750km², Dar es Salaam, 1300km². Do u then mean that given its size alone, Dar has more infrastructure than those two cities? Bure kabisa!

We are talking abought the same region mama.

If your paris is much better put in the same region with dubai,HK,beijing,TOKYO etc.then u will realise you know nothing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…