Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
Kiini cha familia thabiti ni ndoa yenye amani, furaha na kuheshimiana. Ndoa zingine nyingi ni kulea tu watoto na kuhofia jamii itakuelewaje ukiondoka. Mume yupo busy kuinvest kwa michepuko, hiyo familia thabiti inatokea wapi? Ushoga ni habari nyingine, hata kwetu wapo. Wapo wazungu kibao wanaoishi kwenye ndoa za amani, wakitendeana mema, hakuna cha endurance, wanaenjoy tuSiyo kuabudu, ndoa ni kiini cha familia thabiti, hao wazungu ambao unafikiri mambo yao ni super wameishia kwenye ndoa za mashoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati mwingine mnajisahau mno hasa mkishajifungua mapendo yooote mnayahamishia kwa mtoto.
Kaka yangu alianza kuchepuka baada ya mkewe kuanza uzazi. Mtoto hadi anatimiza mwaka mkewe hataki kuguswa, brother akaona isiwe kero maama- akala buyu tu. Mke anakuja walau kumsogelea mumewe mtoto anaenda mwaka na miezi saba nane huko wakati huo hajui nje kuna kimwana ana care hatari hatari
Huyo mvivu tu!tusitetee makosa wanawake tunajisahau tukilea mnoo !Ndio mume aliyeona yy wa kumfaa. Kesho na keshokutwa ndoa ikiserebuka wa kulia mara nyingi huwa ni mwanamke.
Uzazi sio rahisi ndio najua na nakubaliana na hilo lakini ndio majukumu hayo hakuna kuleta excuse kama ambavyo baba nae haleti excuse kwenye kuhenya kutafuta. Kila mmoja atimize majukumu yake ipasavyo
Umepata mtoto ndio ubadilike totally achukue nafasi ya mumeo?
Kila mtu atimize majukumu yake ipasavyoHuyo mvivu tu!tusitetee makosa wanawake tunajisahau tukilea mnoo !
Sijui kwa wale wanaochepuka ilhali wakiwa na wachumba kibao ambao bado hawajawaoa, hawa tutawaweka kundi lipi. Kwa habari ya mwanaume kuchepuka, hii ni asili yao. Ukimpa wanawake 100 achague hapo mmoja anayempenda wale tisini na tisa watakaobako bado watakuwa wanamuumiza kichwa.Uzi huu ni maalumu ili kutatua utata unaoendelea juu ya pande hizi mbili na inawezekana kabisa hakuna ukweli wowote ila niimani tu iliyojengeka kwa baadhi ya wanaume.
Kila mwanamke ana sifa zake na kulingana na kundi lililotajwa hapo juu lakini kunamjadala wa muda mrefu kuwa mwanamke akisha olewa anajisahau ndio maana wanaume hufuata michepuko huko nje ya ndoa.
Je,ni kweli michepuko wanajua mapenzi kuliko wanawake walioolewa?
Picha,tafiti zinaruhusiwa 'karibuni'
View attachment 786420View attachment 786422
Nakubaliana na wewe kuwa wanaume wana wajibu mkubwa kujenga familia thabiti, siyo kufukuzana na michepuko kila kukicha wanajikuta hata hawawezi kutoa matunzo na malezi bora kwa watoto. Ila wanawake mna wajibu mkubwa zaidi kuhakikisha familia hizi zinakuwa bora na imara kabisa, mna uwezo mkubwa wa kum influence mwanaume, hivyo tumieni hivyo vipawa vyenu kwa ajili ya mustakabali mwema wa familiaKiini cha familia thabiti ni ndoa yenye amani, furaha na kuheshimiana. Ndoa zingine nyingi ni kulea tu watoto na kuhofia jamii itakuelewaje ukiondoka. Mume yupo busy kuinvest kwa michepuko, hiyo familia thabiti inatokea wapi? Ushoga ni habari nyingine, hata kwetu wapo. Wapo wazungu kibao wanaoishi kwenye ndoa za amani, wakitendeana mema, hakuna cha endurance, wanaenjoy tu
Kuku Kuku, Jogoo jina Hata Huyo mchepuko siku ukimpa cheo cha mke utaona kuna kitu kimepungua kwake Akili itakutuma ukachepuke Tena.
Ujue unachekesha
Nature rather inaapply sana zamani
Siku hz kwa bao moja hizii ndo manaendekeza michepuko??namkumbuka my ex flank hivii uwiii ni kimeoo afu kinachepuka htr
Mtu bao moja ukifika kwa mkeo eti na we umechoka...yani inakeraaa
Hasa wanaume wa Dar wajitathminiiii....most of u kuchepuka is bcz of ego business sio kwa kua mna nguvu za ku.tomba sana
Wengi wenu wabovuuuuuu wanawake tunawastahiii tu mana mda mwingine unasema hv nanuna nini uyu famba style zake goli moja tu acha akakitembeze sio kesiii
Walobaki na nguvu za bao 3 wallah wachache tena wale wasio na kazi za stress na awe na hela
Ukiwa na hela afu kazi stress jmn dudu hazisimamiii
Si ushanipata sasaWeweeeee, basi tu.....nakutafuta aisee.
Imebidi nicheke tuu [emoji23][emoji23][emoji23] afu unakuta na room nimechukua ya 120k afu nachepuka napiga kimoja cha dk 2 basiii
Si ushanipata sasa