Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote" eimen....[emoji122][emoji122][emoji122]Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?
Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.
Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Wakati mwingine mnajisahau mno hasa mkishajifungua mapendo yooote mnayahamishia kwa mtoto.Ndo mana nkasema u do it for selfish reasons hio hamu mkeo hakutoshelezi?.,
Unadhani uzazi ni rahisi?.Wakati mwingine mnajisahau mno hasa mkishajifungua mapendo yooote mnayahamishia kwa mtoto.
Kaka yangu alianza kuchepuka baada ya mkewe kuanza uzazi. Mtoto hadi anatimiza mwaka mkewe hataki kuguswa, brother akaona isiwe kero maama- akala buyu tu. Mke anakuja walau kumsogelea mumewe mtoto anaenda mwaka na miezi saba nane huko wakati huo hajui nje kuna kimwana ana care hatari hatari
Umeolewa wewe binti mlokole...?Love you too dada ake
Thank you darling. ...Unadhani uzazi ni rahisi?.
Jaribu kuzaa and care for a helpless child
Una pay vipi attention kwa mtu mzima badala ya kudeal na mtoto anaekutegemea wewe 100%?
Malezi yawe shirikishi uone jinsi kulea ilivyo taabu na kasheshe
Dada mmoja alikua anasimulia mumewe kujipakulia tu ananuna wakati mama analisha watoto...baadhi ya wanaume ts too much
Changanya na kazi za hapo hom na kazi za ofisini...
Mume asipokuweka sawa na kusaidiawa kazi hapo home lazma umuweke pembeni
Japo mwaka is too long...sijui dada alikua na changamoto gani maybe she sees true love na mtoto kuliko mume
Maybe kutingwa na kuhudumia mtoto,mume nae alee aone
Wengine mke akizaa analala kbs next room
Ndo shida na raha za ndoa hizo ila we unataka starehe yako ibaki constant...
Unataka kunipa mchumba?Umeolewa wewe binti mlokole...?
Nikupe mchumba tena, nataka nikufanye mama bere wangu kabisa..!Unataka kunipa mchumba?
Dooh nimeshaolewa mpendwaNikupe mchumba tena, nataka nikufanye mama bere wangu kabisa..!
Habari mbaya sana, kwangu hii[emoji27][emoji27][emoji27]Dooh nimeshaolewa mpendwa
hatuchepuki kwasababu ya mapungufu ya wenzi wetu ndani tu.
muda mwingine mtu anachepuka akijiuliza hajui sababu na moyoni anajiambia hivi hapo sasa nimefuata nini.
Cc Heaven Sent.
Hivi hili mbona huwa sipati jibu. Hawa wanaume wanao cheat wana cheat na akina nani? Na wengine ni wake za watu. Tena hao ndio wanaongoza kwa kisingizio eti wako stressed sana ndani ya ndoa. Kama wanaume wao ni natural cheaters hawa partners wao tuwaiteje? Kwa maana hawa cheat mwanaume kwa mwanaume mwenzake..Still cheating inabaki kuwa ni choice. Na wanaume wetu wameshajiaminisha kuwa cheating ni nature yao. Hata ukiwa malaika atakwambia amechepuka tu kwa sababu ni nature yake. Mtu kuwa msumbufu sio justification ya kuchepuka, kama umemshindwa kabisa muache, then kaoe huyo unayehisi atakufanya utulie. No one is perfect, ni kuvumiliana tu
You are one in a million.Gadem hata mi nawaza sex kila siku and i dont cheat...choices baby choicesss
Make it regular na mkeo
Make her love it....mana wengine we love it naturally so mindset ipo hivo ht km kanikera naona raha tu kutian.a nae
Hivi
Hivi hili mbona huwa sipati jibu. Hawa wanaume wanao cheat wana cheat na akina nani? Na wengine ni wake za watu. Tena hao ndio wanaongoza kwa kisingizio eti wako stressed sana ndani ya ndoa. Kama wanaume wao ni natural cheaters hawa partners wao tuwaiteje? Kwa maana hawa cheat mwanaume kwa mwanaume mwenzake..
Kufuli linalofunguliwa na funguo nyingi ni kufuli bovu na funguo unayofungua kufuli nyingi linaitwa master key.!Wanawake wanacheat yes, but not sawa na rate ya wanaume. Na Wanawake hawajustify cheating kama wanaume, ndo maana wengi wakichepuka wanafanya kimya kimya. Mwanamke ukifumwa unachepuka ndo talaka, bado jamii Itakusimanga weee, utatukanwaa. Lakini mwanaume akichepuka ndo kidume eti, mke vumilia tu wanaume wote ni sawa pyeeee. So you see how jamii yetu inasupport wanaume kuchepuka na ndo maana wanachepuka sana tu tena freely, no majuto.
Kaujinga ka mfumo dumeKufuli linalofunguliwa na funguo nyingi ni kufuli bovu na funguo unayofungua kufuli nyingi linaitwa master key.!