Battle: Mke wa ndoa VS michepuko

Nikipewa nafasi ya kuchagua mtu mmoja kutoka JFwa kumwona na kuzungumza nae live,Hakika nitakutaja wewe.
 
there you are.

lakini takwimu zinaonyesha wanaume tunaongoza kutoka nje ya ndoa... nje ya ndoa kwa waliopo kwenye ndoa.

swali ni je, wanaume ndio tuna sababu za kuchepuka?

je ni kweli wanaume wengi ndiyo hawana self control? kwanini inakuwa hivi?
Mimi binafsi naona wanaume wengi wana Tamaa za ngono. Tofaut na wanawake
 
Binamu unajua bwana daah
 
Mimi binafsi naona wanaume wengi wana Tamaa za ngono. Tofaut na wanawake
Ndiyo maana nasema kuchepuka ambapo kwa lugha nyingine kupenda ngono tofautitofauti kwa asilimia kubwa ni tatizo la asili yetu.
we think more about sex than you guys.

namkatalia heaven kwamba tunalitumia hili kama justification ya kuendelea kuchepuka.
sex drive yetu ni kubwa kuliko yenu. hili hata baiolojia inalisema angalau kwa siku mwanaume huwaza ngono kila siku.
 
Gadem hata mi nawaza sex kila siku and i dont cheat...choices baby choicesss
Make it regular na mkeo
Make her love it....mana wengine we love it naturally so mindset ipo hivo ht km kanikera naona raha tu kutian.a nae
 
Kuna mtu ametoa mfano wa Sulemani alivooa wanawake mamia na masuria maelfu ila kaandika wimbo ulio bora for One Woman....wanaume mnajiendekeza period...especially wale ambao mke yuko available and she is trying her best
Kama kweli unanyimwa home naweza kukuelewa
Ila mtu pia akikataa lazma uangalie y anakataa au y hapendi etc
 
Reactions: Cyb
Gadem hata mi nawaza sex kila siku and i dont cheat...choices baby choicesss
Make it regular na mkeo
Make her love it....mana wengine we love it naturally so mindset ipo hivo ht km kanikera naona raha tu kutian.a nae
unapingana na nature.

there is no way utaikimbia nature..

sex drives btn us and you... typical different.

niliuliza swali.

wanaume kwenye ndoa ndio tunaongoza kucheat. Je ni kweli wanaume hatuna choices? kwanini wqnawake wawe na choices sie wengi tusiwe nazo.
 
Na kama unadhani mchepuko ni zaidi kwa mkeo oaaa ndo utajua bit.chea are the same.,rather even worse
 
Ujue unachekesha
Nature rather inaapply sana zamani
Siku hz kwa bao moja hizii ndo manaendekeza michepuko??namkumbuka my ex flank hivii uwiii ni kimeoo afu kinachepuka htr
Mtu bao moja ukifika kwa mkeo eti na we umechoka...yani inakeraaa
Hasa wanaume wa Dar wajitathminiiii....most of u kuchepuka is bcz of ego business sio kwa kua mna nguvu za ku.tomba sana
Wengi wenu wabovuuuuuu wanawake tunawastahiii tu mana mda mwingine unasema hv nanuna nini uyu famba style zake goli moja tu acha akakitembeze sio kesiii
Walobaki na nguvu za bao 3 wallah wachache tena wale wasio na kazi za stress na awe na hela
Ukiwa na hela afu kazi stress jmn dudu hazisimamiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…