bwana mdogo kunywa maji upunguze wenge inaonekana wewe Bado ni ngumbalu,zile fedha alizosema CAG Asad hazionekani na jiwe akakataa jamaa kuendelea kufanya uchunguzi Kwa kumuundia zengwe la kumstaafisha wakiongozwa na Kimbunga Jobo zilitumikaje?
Acha kutetea ujinga Huyo unayemwona innocent Kwako alikua Mwizi Kama wezi wengine ila alijificha kwa kivuli Cha Uzalendo uchwara
Haya Ile miradi ya mwendokasi iliyojengwa Chato iliidhinishwa na bunge Gani?
Ilikaguliwa na CAG Gani?
Kwanini walificha ripoti ya Ile miradi?
Unaijua Mayanga Construction ambayo ilichukua tenda ya kujenga Chato international airport ilichukua zabuni kimagumashi wakati sheria inatakiwa tenda kitangazwa na kampuni itakayoshinda Zabuni ndio ipewe mradi
Ilikuaje ikafanya kazi kinyume Cha sheria Kama sio ulikua wizi wa mchana kweupe na order kutoka Kwa jiwe?
Kiufupi mtu wenu alikua mjanja mjanja tu Kama wajanja wengine!
wewe acha wenge nitoe ushahidi Mimi nimekua CAG
Simlimchimba mikwara
Prof Assad asitoe ripoti ya upotevu wa matrillion ya Pesa Kupotea kimagumashi?
Mlimziba mdomo Kwa kumstaafisha Kwa lazima Ili asigundue janja yenu ya nyani
Miradi mingi iliyoenda Chato haikupitishwa na bunge
Ila Kwa ujanja ujanja wa jiwe,
Haya mlivyo zero brain mkajitangazia uchumi umepaaa
Tupo uchumi wa kati tutembee vifua mbereeee
Leo Kiko wapi?
Mlizoea propaganda uchwara kuliko uhalisia wakati hazina hamna kitu matokeo yake
Leo inabidi tukamuliwe Kodi na tozo za ajabu ajabu kuziba pengo kisa mtu mmoja Aliyekua anapenda sifa na propaganda za kijinga kutoka Kwa nyumbu Kama nyie
Madame President Samia
Aliingia hazina akakuta empty
Ikampasa auseme ukweli tu kwamba hali Mbaya kiuchumi
Ila Nduli alikua anajua kucheza na akili za nyumbu Kama nyie
😁😁😁😁😁
Tafadhali weka na sababu alikulaghai vipi na wapi.Magufuli alikuwa laghai
Sidhani kama IMF wanapokea maagizo kutoka serikali yoyote ile, ikiwemo Tanzania.jiwe baada ya kupika data na kuwaingiza mkenge IMF
zile takwamu za uchumi wa kati nani alizitangaza Kwa mbembwe?Sidhani kama IMF wanapokea maagizo kutoka serikali yoyote ile, ikiwemo Tanzania.
Hiyo ni taasisi inayojitegemea haswa. Hawawezi kutoa taarifa ambazo hawajazi-verify.
Hizi unazojaribu kutuambia hapa ni stori tu za vijiweni.
World Bankzile takwamu za uchumi wa kati nani alizitangaza Kwa mbembwe?
mzigo ule ndio uliojenga miradi ya Kijiji Cha Chattle hivyo inahesabika kama pesa za wizi sababu haikuidhinishwa na bunge Wala kukaguliwa na CAGAcha ukilaza,,aliingia akakuta empty wakati siganory wa pesa na misamaha ni waziri wa fedha amabye kwa sasa ndo makamu wake wa Rais.Trillion uibe harafu unaiweka nch ipi?IMF na worldbank na us watakuangalia tu..Escrow tu ilipelekea misaada kusimama sembuse trillion nzima..sipenda watu wasiochanganua mambo.Kama kaziiba na sasa hivi hayupo kwanini hawazichukui na kuzirudishq hazina..eti wizi wa trillion..upuuzi kabis
Kwahiyo hawataki hata mema ya nchi kisa tu zilitangazwa kipindi cha Magufuli!!??World Bank
Wanataka Magufuli aonekane mbaya, bila kujua wao ndiyo wanaonekana tatizo.Kwahiyo hawataki hata mema ya nchi kisa tu zilitangazwa kipindi cha Magufuli!!??
Wallahi hawa watu wanachuki hakiyamama.
Vipi statistics za sasa tuna mabilionea wangapi ndani ya miezi sita ya Rais mpya?'Anapendwa' na uneducated class because they can't see past his propaganda and cooked statistics.
Ukweli ni kwamba ndani ya miaka 6 ya uongozi wake, GDP per capita imeongezeka by 30 USD, wakati chini ya miaka 10 ya Kikwete iliongezeka by 500+ USD.
hahahaahhaaaa Kwa ufahamu wako unaona zile takwimu zilikua sawa?World BankView attachment 1949826
Kwahiyo World bank waongo???hahahaahhaaaa Kwa ufahamu wako unaona zile takwimu zilikua sawa?
Na ukaamini kabisaaaa tupo uchumi wa kati Kama walivyojinasibu?
Mema ya nchi wapi nyie vigeu geu hao waliowapa Hizo takwimu si ndio mliwaita mabeberu iwaje Tena mkaamini takwimu zao?Kwahiyo hawataki hata mema ya nchi kisa tu zilitangazwa kipindi cha Magufuli!!??
Wallahi hawa watu wanachuki hakiyamama.
haya tufanye walikua wakweli huo uchumi wa kati unao apply kwenye makaratasi bila uhalisia mbana hatuuoni Ina maana umeporomoka ghafla baada ya mwendazake kwenda na upepo?Kwahiyo World bank waongo???
Hehehehee hivi ndivyo mlivyo, hamjawahi kujibu kwa hoja zaidi ya kujibu kitoto, nimeuliza kwamba WB waongo!!? Badala ya kujibu unaruka ruka, kama hutaki Tz iko uchumi wa kati je unataka kufananisha Tz ya sasa na Tz ipi hebu nijibu.Mema ya nchi wapi nyie vigeu geu hao waliowapa Hizo takwimu si ndio mliwaita mabeberu iwaje Tena mkaamini takwimu zao?
Ile ya uchumi wa kati ilikua kejeri Kama kejeri nyingine na nyie mkaingia mkenge kushangilia takwimu hewa!
Haaahaahahah MATAGA pori mna vioja sana!
Tangu lini uchumi ukaonekana? Haya niambie huo uchumi una rangi gn.haya tufanye walikua wakweli huo uchumi wa kati unao apply kwenye makaratasi bila uhalisia mbana hatuuoni Ina maana umeporomoka ghafla baada ya mwendazake kwenda na upepo?
kwahiyo hapo wewe umejibu kikubwa au sioHehehehee hivi ndivyo mlivyo, hamjawahi kujibu kwa hoja zaidi ya kujibu kitoto, nimeuliza kwamba WB waongo!!? Badala ya kujibu unaruka ruka, kama hutaki Tz iko uchumi wa kati je unataka kufananisha Tz ya sasa na Tz ipi hebu nijibu.
kijani na alama ya jembe na nyundo!Tangu lini uchumi ukaonekana? Haya niambie huo uchumi una rangi gn.
HIVI KWANINI MLIVYOLUWA MANAIBA BILA KUNAWA,,BAADA YA KUGUSWA BASI MMEKUWA NA CHUKI SANA..MIMI NINGEKUWA NAKUFAHAMU HATA LEO NINGEKUPIGA SHABA KWA UPUMBQVU WAKO HUUmfateni makaburini huko mwehu yule
mnajua kabisa no one likes him at all...mnapiga madomo tu hapa
aliekua anawapa ugali kafa na ugali....sasa hivi njaa mpaka matakoni..muulizeni bashite