Ila mmemuattack sana
CCNP Engineer. huyu jamaa anajua kuvimba, hes an engineer anatakiwa vimbaa bana kusomea Engineering si mchezo acha atudharau vilaza sie!.
Najua tungekua na akili tungeshindana nae darasani n' namwambia keep up man!.. Angekua NN kajitapa hivi wote kimya, lile jamaa linajua kutisha!!
🙂..