kama unathamini sana charge then uwe tayari kutoa laki 1 pembeni pamoja na hela ya simu. zipo extended battery ambazo zinakaa na charge sana.
seido na mugen ndio watengenezaji maarufu wa hizo betry unazosema wewe hapa nitataja simu uwezo wa battery na jinsi mungen walivyoziwezesha.
1. galaxy s3 uwezo wa battery 2100mah na mungen wametengeneza 4600mah ina maana utapata power zaidi ya mara 2 ya uliyoipata
2. galaxy s4 uwezo wa battery ni 2600 na mungen wametoa battery ya 5500 mah
3. lumia 820 uwezo wa battery ni 1600mah mungen wakatengeneza 3000mah
kwa hio kaka utakua umepata idea ya ninachomaanisha. hizi betry zinauzwa bei ghali sababu utazichaji mara nyingi kabla hazijaharibika.
betry za mungen unachaji mara 500 mpaka 600 kabla hazijaanza kufulia hivyo unapata waranty ya miaka 2.
zipo za kichina za bei rahisi hata dola 10 unapata tatizo wanatumia expired material ukifikisha hata kuicharge mara 100 shukuru mungu miez mi 3 hadi 6 zinaharibika.
pia hawa jamaa mungen wametengeneza atomic battery za simu ambazo ni mah 468,000 zina nguvu mara 180 kuliko battery ya kawaida ina maana unakaa hadi miez 3 bila battery kwisha ila bei yake ni dola 500 kama laki 8 za kitanzania
batery hii ya laki 8 inapatikana kwa lumia 820, galaxy s3, note2 na galaxy s4