Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Wakuu heshima mbele!Eti jamani battery saving mode ni nini na ina kazi gani?Nawasalisha.
Ni kukifanya kifaa chako kinachotumia betri kuwa katika hali ya kutumia betri kidogo na kuifanya betri ikae muda mrefu zaidi.