mchonga JF-Expert Member Joined Dec 3, 2006 Posts 1,233 Reaction score 249 Nov 14, 2017 #1 Wakuu nawasalimu!! Nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua pa kuweza kununua Battery Cages Za kuku wa mayai Na Bei zake!! Au kama kuna uwezekano nipate hata contact tu kazi ya kuwasiliana nitafanya mwenyewe Natanguliza Shukurani
Wakuu nawasalimu!! Nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua pa kuweza kununua Battery Cages Za kuku wa mayai Na Bei zake!! Au kama kuna uwezekano nipate hata contact tu kazi ya kuwasiliana nitafanya mwenyewe Natanguliza Shukurani
M Mhigomkami JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 1,199 Reaction score 857 Nov 14, 2017 #2 Ukiwa Dar, nenda Victoria, elekea kama hospital ya kairuki, Mita 200 toka Bagamoyo road, angalia kulia kwako.
Ukiwa Dar, nenda Victoria, elekea kama hospital ya kairuki, Mita 200 toka Bagamoyo road, angalia kulia kwako.
mchonga JF-Expert Member Joined Dec 3, 2006 Posts 1,233 Reaction score 249 Nov 14, 2017 Thread starter #3 BARRY said: Ukiwa Dar, nenda Victoria, elekea kama hospital ya kairuki, Mita 200 toka Bagamoyo road, angalia kulia kwako. Click to expand... Asante sana ndugu yangu Ngoja niwajaribu
BARRY said: Ukiwa Dar, nenda Victoria, elekea kama hospital ya kairuki, Mita 200 toka Bagamoyo road, angalia kulia kwako. Click to expand... Asante sana ndugu yangu Ngoja niwajaribu
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Nov 14, 2017 #4 Pia JKT nadhani Ruvu pale watakuwa nazo