mkuu actualy hamna battery booster ila kuna power saver.
Yani unavifanya vitu vile energy kwa kiasi cha chini.
Mfano mwanga wa simu ukiwa mkubwa hio battery booster itaupunguza uwe mdogo hii itasaidia kufanya mwanga uwe mdogo.
Au unakuta unatumia netwrok ya 3g inaswitch kwenda edge ili kupunguza ulaji wa battery
battery booster nyengine zinaweza pia kukuzuia kuingia app flan flan ambazo ni power hunger.