Bato ya wachaga vs wasukuma

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,887
Reaction score
165,874
Sisi watanzania wote ni watani tu ,kwa desturi zetu hatuna shida tukitaniana.

Hii bato ya wachaga na wasukuma naona kama imelazimishwa mno , hakuna bato hasa ya kiuchumi kati ya hayo makabila mawili.

Bato iliyopo ni kati ya watanzania na wachaga kwa sasa hayo mengine mnafanya unafki tu.

Note:huu uzi upo chitchat na utani , hayo ya kwako ya kukaza fuvu peleka wa wajinga wenzako .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…