tikiongelea maswala ya nguvu SUPERMAN ni zaidi kuliko BATMAN.
tukiongelea swala la akili BATMAN ni zaidi.
tukiongelea maswala ya kiuchumi BATMAN ni zaidi.
Tukiongelea kuhusu hali zao kiiafya SUPERMAN ni zaidi.
Tukiongelea kuhusu mvuto wa muonekeano SUPERMAN ni zaidi.
Halafu superman amevaa uhusika, as if yeye sio binaadamu wa sayari dunia, sio tu wa kawaida. lakini batman ana wawakilisha binadamu wote wakaida wenye, na kwahiyo anahamasisha binadamu wote wa kawaida, labda kama na wewe ni ALIEN.