Bati zangu zinavuja sana

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,413
wakuu naomba msaada,,,,nahitaji utaalam wa namna ya kudhibiti bati zangu za vigae ambazo zinavuja hasa kipindi hiki cha mvua...niliwahi kuziba na silicon lakini naona haikusaidia....msaada tafadhali maana gypsum inalowekwa
 
pole sana utakuwa hukupata mafundi wa kupangilia angle vizuri . hyo gypsum itadondoka nzima nzima waambie watoto wakae mbali na eneo la tukio. cha kufanya tafuta hela upaue tena .
 
Huu ndo wakati wa kuangalia tatizo lipo wapi hasa..

Unaweza kubadili mabati sehemu mbovu zote..

Waliokupaulia walikosea..
 
pole sana utakuwa hukupata mafundi wa kupangilia angle vizuri . hyo gypsum itadondoka nzima nzima waambie watoto wakae mbali na eneo la tukio. cha kufanya tafuta hela upaue tena .
Sure,Kuna staff mwenzetu pia aliwahi kudondokewa na gypusm tulikuwa tumeenda kikazi mkoa flani tukafikia kwenye hotel Moja hv.
 
pole sana utakuwa hukupata mafundi wa kupangilia angle vizuri . hyo gypsum itadondoka nzima nzima waambie watoto wakae mbali na eneo la tukio. cha kufanya tafuta hela upaue tena .
sio nyumba nzima ni baadhi tu ya sehemu........vipi kodi ushalipa?? wapangaji huwa mnakuwa na vijiroho vy akibashite sana......meza chupa
 
Pole sana mkuu.

Kwahiyo unalala na masufuria ya kukinga maji yanayovuja?

wakuu naomba msaada,,,,nahitaji utaalam wa namna ya kudhibiti bati zangu za vigae ambazo zinavuja hasa kipindi hiki cha mvua...niliwahi kuziba na silicon lakini naona haikusaidia....msaada tafadhali maana gypsum inalowekwa
 
wakuu naomba msaada,,,,nahitaji utaalam wa namna ya kudhibiti bati zangu za vigae ambazo zinavuja hasa kipindi hiki cha mvua...niliwahi kuziba na silicon lakini naona haikusaidia....msaada tafadhali maana gypsum inalowekwa
Mkuu pole sana...vigae c vya kumpa fundi pekee akufanyie kaz...ulipaswa uajil na msimamiz wa kaz....namanisha engineer...vigae n tatzo Katka kufunika kwa mafund....hapo hamna namna hizo sehem zinazovuja replace na vigae vipya
 
Ndio tatizo la kulalia bei;Usha pigwa za uso na watoto wa mjini,hawataki ujinga kabisaaaa..!,pole sana;Solution ni kuziondoa tu uanze upya.
 
Back
Top Bottom