Batch ya 4 udom wizi na ufisadi wana jf kilio hiki kiende wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Batch ya 4 udom wizi na ufisadi wana jf kilio hiki kiende wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kiny, Oct 18, 2012.

 1. K

  Kiny JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Katika hali isiyo ya kawaida katika ufisadi unaoendelea kuwaka moto Tanzania hali imekuwa mbaya zaidi huko udom kwani wameondoa watu kibao medicine,nursing, midwifery na petrolleum engineering huku nafasi hizo zikionekana kujazwa na watoto wa wakubwa na principles wa colleges na wale wa inservice wenye fedha zao huku wale walioamishwa wakiwekwa ktk kozi za non priority. Na wengine wakiachwa bila kujua hatima yao.
   
 2. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hmmm!Acha umbea wewe!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Fuatilia hayo majina uyarushe humu jamii forums kwanza halafu copy uwapelekee PCCB,HRLC na CHADEMA(Waziri Kivuli wa Elimu)
   
 4. M

  MPG4 New Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hii ni kweli kabisa maana kuna jamaa mikopa o yao iko notes board wa medicine na nursing lakini wameambiwa nafasi zmejaa na tcu ndio iliyowachagua,inasikitisha ana.
   
 5. K

  Kiny JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kawaida ukweli unauma lakini swala la kuniita mmbea haliniumi lakini kama umefurahia kitendo hiki utaona matokeo yake maana kuna mtu ana point 4 (EEF) Kapelekwa midwifery na mtu mwenye point 10 (CCC) kanyogelewa bsc education lakini siku huyo midwife atakaposhindwa kumsaidia mkeo ndipo utajua umbea wangu Mungu akubariki sana. Lakini jua majuto ni mjukuu.
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mkuu haya ni matokeo ya mtihani upi?? mbona sielewielewi
   
 7. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha ha... Hata me cjayaelewa haya matokea! Ni ya tz au?
   
 8. N

  Nakwetu Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu ngoja tuone, GPA ya kuingia chuo kikuu ni kama ufuatavyo:-A = 5, B = 4, C = 3, D = 2, E = 1, F = 0, S = 0.5,
  kwa hiyo EEF = 1+1+0 = 2, na CCC = 3+3+3 = 9. Kwa hiyo cjui amekokotoaje hiyo GPA.
   
 9. K

  Kiny JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Marekebisho: huyo wa 9 yaani C flat unaongeza Gs ni 9.5 na huyo mwingine alikuwa na DDF na sio EEF mpaka leo bado mambo magumu watoto wa wakulima wameng'ang'ania hapa college of health lakini wanambiwa waende huko kwenye vicoz walivyopangiwa.
   
 10. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  haya siyo ya Tz
   
 11. S

  Sine r Winters Senior Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  heri yangu jamani
   
Loading...