Umewaza mbali sana huku!!Swimming pool wkt wa kutua ndege maji hayamwagiki[emoji15]
yamegandushwa na supagluuSwimming pool wkt wa kutua ndege maji hayamwagiki[emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ila wamesahau hawajaweka ma bus ya mwendo kasi.....
Hakunaga dege la namna hii duniani. Picha hii ni mchoro wa wabunifu tu wa aina ya ndege wanayoifikiria kuundwa huko mbele ya safari.Europe Air ni dege jipya lenye bata zote uwapo angani ikiwa ni pamoja na bwawa la kuogelea, ukumbi wa dansi, Night Club etc
View attachment 323835
: New Aeroplane by Air Europe with shopping mall, suit rooms, swimming pool on top. Three floors first aeroplane in the world.