moshi kilindimo
Member
- Nov 19, 2014
- 9
- 3
Nafanya biashara ya bata mzinga....Mayai,vifaranga na bata wakubwa kwa bei nafuu kabisa....wasiliana nami kwa kupitia +255754472547.....Moshi Kilindimo
Unapatikana wapNafanya biashara ya bata mzinga....Mayai,vifaranga na bata wakubwa kwa bei nafuu kabisa....wasiliana nami kwa kupitia +255754472547.....Moshi Kilindimo
vifaranga vya bata mzinga unauza bei gani?Napatikana dsm magomeni
Unauzaje mkuu? Bei zake hao wa wiki 1-5 ni shilingi ngapi?Wapo wa wiki 1-5
Wa bata mzingaVifaranga wa muda gani unahitaji?
Bei zote nimeweka wazi....Hahaha,post hii nachekesha kweli aisee
weka mnyambulisho wa bei ya bidhaa yako ikiwezekana na picha kabisa itapendeza zaid wengine hawawajui hawa bata.