Bata mzinga

hao bata wako endelea kukaa nao manake kuweka bei imekua ni tatizo
 
weka mnyambulisho wa bei ya bidhaa yako ikiwezekana na picha kabisa itapendeza zaid wengine hawawajui hawa bata.
 
Yai ni 6000
Kifaranga wa siku tano ni 15000
Kifaranga wa mwezi mmoja aliyemaliza chanjo ni 25000
Kifaranga wa wiki sita mpaka nane ni 35000
Bata mzinga mkubwa ni 150000.....kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwenye namba yangu +255754472547...Mr Kilindimo

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
weka mnyambulisho wa bei ya bidhaa yako ikiwezekana na picha kabisa itapendeza zaid wengine hawawajui hawa bata.
1478589331489.jpg

Bata mzinga(Turkey)
 
Jaman wana jf kwa wale waohitaji Bata Mzinga yaan mayai yake,vifaranga kwa ajir ya kufuga na wakubwa kwaajili ya kula napatikakana iringa kwa sim no;0765811218
tapatalk_1568199685066.jpeg
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom