nna uhakika kwamba hunifahamu hata kidogo labda unamfaham kitomari2 na sio mimi.
jamani namba ya simu ya huyo kitomari2 si mnayo? uthibitisho wa meseji za kutuma pesa zenu si upo? na wengine mnamfahamu kitomari2? mkamateni na mfikishe mahala panapohusika sio mnakurupuka na kuita watu msiowafahamu matapeli.