Mwaga bei siku hizi biashara matangazo. Tukijua bei twaweza vutiwa kukupigia na kukutafuta tusije kukutafuta vivocha vyetu vikaishia kusikia sauti yako nzuri bure!

Huyu kitomari namkubali sana anauza vitu vya ukweli na bei nzuri. Mwaka jana nilinunua bata mzinga wawili na akanisafirishia bure kutoka Arusha hadi Dar. Mkuu nitakutafuta nahitaji wengine wawili.