Basic ICT concept

Basic ICT concept

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Kunatofauti gani kati ya Program na Application?
 
Application inaundwa na series of program 's na Program zinaunganishwa kutengeneza Application ambapo sasa mtumiaji ataweza kufanya kazi kulingana na Application ilivyokuwa programmed

Usisahau Application ni sawa na Software

wengine wataongezea
 
Umemaliza kila kitu
 
Mifano ya hiyo program ni ipi hasa?
 
Mifano ya hiyo program ni ipi hasa?
Mkuu mpaka hapo hujaelewa nini mpaka upewe mfano , Program ni maelekezo ambayo computer huweza kuyatambua na kuyafanyia kazi
images%20(7).jpg
 
Program ni group of codes zinazokuwa na maelekezo ya nini kompyuta ifanye kama response ya input toka kwa mtumiaji. Computer inaelewa binary yani O's and 1's kupitia logic gates.

Kwa kuwa ilikuwa ni ngumu mtu ku code kwa kutumia binary hivyo ilibidi zitafutwe njia za kutatua tatizo ambapo wanasayansi walikuja na programing languages kama Cobol, Fortran , Java, C++, Python n.k ili kutengeneza uraisi wa kuipa computer instructions.

Kuna kitu kinaitwa compiler, hii ni kama mkalimani ambaye anatafsiri programming language into machine code. Lugha ya kuandikia instructions inapelekwa into binary digits ili computer CPU ijue nn cha kufanya.

Ili program iwe useful lazima itengenezwe layer ya juu yake ambayo inaitwa Graphical User Interface. Hii huwa ndio huwa ina icons, buttons na maelekezo yanayompa mtumiaji wa mwisho urahisi wa kutumia program na ndio level ambayo program huitwa application.
 
Thread closed umemaliza
 
Hapa nimekuelewa mpaka basi case closed! Thank you very much for your great contributions
 
Pamoja sana mkuu, any issue about ICT usisite kuniuliza nitakuelekeza katika namna nyepesi sana. Nina knowledge kubwa sana huko mavyeti yako tu kabatini.
 
Aisee…
Anatakiwa aiwekee lamination hii….
Sio mchezo…
 
Pamoja sana mkuu, any issue about ICT usisite kuniuliza nitakuelekeza katika namna nyepesi sana. Nina knowledge kubwa sana huko mavyeti yako tu kabatini.
Nilikuwa napambana na electronics nilitokea kuipenda tu kupitia vitabu, google hata YouTube na kufanya practical nyingi nimefika mahali sasa nawiwa kujifunza networking wapi nianzie kama bigginer ili iwe rahisi ku advance.
 
Back
Top Bottom