Basi zuri la Dar to Dom

Basi zuri la Dar to Dom

We sema oh yeah tu kwa taarifa tu kama hujui hilo basi pichani limeharibika,siku niliyolipiga picha nilikuta bovu,me nlkuwa naelekea dar,likafaulisha abiria kwa machame investment(nb:lilikuwa linatokea singida,na hapo ni dom terminal yao area c)
Kuharibika ni jambo la kawaida

ABC iko poa sana.

Kuna ipo nilipanda kutoka DOM kuja DAR, niliondoka saa 4 na nusu asubuhi niinjoi safari vizuri sana maana speed iko poa, huduma yake alikuwepo konda kabinti kazuri kweli kanahudumia kwa ukarimu wa hali ya juu, safari ilikuwa nzuri kwa kweli.
 
USIONGOPE WEWE NI 32 ELFU TU INAKILAKITU NDANI FULL LUXURY

ILA ZIPO ZA20.26,28
We dogo wacha utani basi,, yaani utubebeshe ma.vi yako halafu tukucharge elfu 32 tu? Haiwezekani. Labda kwa vile SUMATRA waliingilia kati, lakini bei za wakati Kimbinyiko, Shabbiby, ABC wanaleta zile luxury ilikuwa ni hatari mimi nilikuwa nataka kusafiri kutokea Moro kwenda Dom nikaambiwa elfu 45 tukakorofishana nao!!
 
MWANZONI ILIIKUWA.35 LAKINI ILSHUSHWA BEI LABDA IPANDE JANA NA LEO MKUU
 
Super champion ndio habari ya mjini mengine wezi tu maana bus hakuna first class ni wizi mtupu
 
Hivi wajameni 'siri yako' zimeishia wapi?80's ndizo zilikuwa basi zangu kwa route hii.
 
Back
Top Bottom