Basi zuri la Dar to Dom

Basi zuri la Dar to Dom

kalanga

Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
79
Reaction score
69
Wandugu ni basi gani zuri la Dar to Dom kuanzia kumi na mbili asubuhi au saa moja asubuhi lenye AC na charging system.
 
Kimbinyiko luxury na Shabiby luxury usipoteze muda, ukiweza kata ticket yako siku moja kabla ya safari, mabasi ya saa 12 huwa yanajaa kabla ya siku ya safari kwa hizi luxury two by one.

Hizo ni kama umepanda ndege ya Emirates.
Mkumbusheni pia nauli yake Dar-Dom elfu 60 asifikri nauli sawa na Kilimanjaro Express!
 
ABC upper class au kimbinyiko
d5e8dc5d6d4fb2850079a6fd6a18ac6e.jpg
 
Back
Top Bottom