Kweli kabisa mkuu magari mzuri kwa root za kaskazin ni haya uliyotaja ongeza na Dar Lucy..... Kilimanjaro, Dar ex yamebaki Majina ndani seat zimechoka TV azifanyi kazi no kiyoyozi....
Mabasi ya pande zile yana ujanjaujanja mwingi, nilipanda Mtei moja inatoka Arusha saa 12 asb kwenda Singida, safety belt hiyohiyo imefunga kiti na hiyohiyo unajifunga wewe, usipojifunga safety belt kiti kinachomoka kilipo
Mabasi ya pande zile yana ujanjaujanja mwingi, nilipanda Mtei moja inatoka Arusha saa 12 asb kwenda Singida, safety belt hiyohiyo imefunga kiti na hiyohiyo unajifunga wewe, usipojifunga safety belt kiti kinahama kilipo