RB mkumbwa
Member
- Feb 2, 2013
- 51
- 120
Wamejirekebisha ? Haya magari niishasema sitakuj kuyapanda kamwe. Hayfai hata kidogoPanda Lushanga mkuu hutajutia
Wamejirekebisha ? Haya magari niishasema sitakuj kuyapanda kamwe. Hayfai hata kidogoPanda Lushanga mkuu hutajutia
Tnx kkMkuu usihangaike, wewe panda new force tu. Kibondo panda adventure
Yapo ya kahama, kigomaAdventure linapitia njia ipi to Kibondo..?
Ebu tuanzie hapo kwanza
Vp pemben wanakuwekea mtoto mzuri?Dar lux tu. Kipupwe full tym...wifi free...charging system full tym...maji...soda...pipi....na biskuti....yaan unafaidi kanauli kako haswaa
wakuu vipi kwa sasa dar to kibondo inacost kiasi gani???Panda Mabasi Haya Kutoka Dar Hadi Kibondo
Adventure Connection
Saratoga
Mvula
Hayo Ni Mabasi Kutoka Dar Kwenda Kigoma Kupitia Kahama Na Hapo UtakuwA Na Uhakika
Panda Lushanga mkuu hutajutia
dar to kibondo kwa sasa ni kiasi gani mkuu??Adventure linapitia njia ipi to Kibondo..?
Ebu tuanzie hapo kwanza
Sina uhakika mkuu, lakini ukitoka Dar-Kibondo, Dar-Kasulu, Dar-Kigoma maranyingi nauli yao huwa inakuwa ileiledar to kibondo kwa sasa ni kiasi gani mkuu??
Tshs 60000/=
wakuu vipi kwa sasa dar to kibondo inacost kiasi gani???
Fwata ushauri huu 👆 panda bus la moja kwa moja tena ukifika pale ubungo usijifanye mjuaji uliza kbs kuwa unataka bus za Dar to kigoma via kahama, Maana yapo mengine ya Dar to kigoma via Tabora,Kaliua then Uviza route hii utopita kibondo japo Bus zote tanjwa hapo juu zinapita route zote mbili per day kwaiyo be careful usije kosea route yako 🤔Panda Mabasi Haya Kutoka Dar Hadi Kibondo
Adventure Connection
Saratoga
Mvula
Hayo Ni Mabasi Kutoka Dar Kwenda Kigoma Kupitia Kahama Na Hapo UtakuwA Na Uhakika