Kisbo, 40,000/= Dar to kahama ndo gari pekee nzuri na inayofika kwa wakatiHabari wadau msaada kujua bus zuri kutoka dar kwenda kahama na kutoka kqhama kwenda kibondo naomba kujua na gharqma zake asanten
New force=hawashi kipupwe lakini zuriHabari wadau msaada kujua bus zuri kutoka dar kwenda kahama na kutoka kqhama kwenda kibondo naomba kujua na gharqma zake asanten
Mabasi mazuri ya Dar - Kahama ni Dar Lux ama New Force. Yote nauli ni 40 elfu.Habari wadau msaada kujua bus zuri kutoka dar kwenda kahama na kutoka kqhama kwenda kibondo naomba kujua na gharqma zake asanten
Mhhhhh......Mkuu usihangaike, wewe panda new force tu. Kibondo panda adventure
Ohoooo......Panda Lushanga mkuu hutajutia
Hayo yote Bomu,kuna lile LA blue (Dar Lux) sijui,wana ofisi shekilango Katibu na dar exp na kilimanjaroKuna mabasi mazuri kama Falcon, wibonela,Mohammed trans, nauli maelewano.
We panda Dar lux!Na Dar Mwanza high class full comfortability ni basi lipi
Nimempotosha wapiMhhhhh......
Mbona unampotosha mwenzio...!?
Adventure linapitia njia ipi to Kibondo..?Nimempotosha wapi
kweli mkuu dar lux ni mambo yoteDar lux tu. Kipupwe full tym...wifi free...charging system full tym...maji...soda...pipi....na biskuti....yaan unafaidi kanauli kako haswaa
dar luxNa Dar Mwanza high class full comfortability ni basi lipi