Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
Hivi wale MA brother men wanaopostigi picha mkiwa kifua wazi mnamlingishia nani vititi vyenu?? au mnataka tujue kua na nyinyi mna vichuchu saa 6??
...
..!!!
...
Ndo huko wanakopoteaga njiaShida gymu
Umeona eehh, hii n shida kubwaBalaaa
Huko kwenu hawapo nn!!??Ooohoooo..!!
Uku hatuna Masoro kaa hao chaliloo,,wapogo Darisalade tu dingi angu.Huko kwenu hawapo nn!!??
ha wslingishe sio kila mtu anaweza kutunza mwili wake wengu wameharibika mkaka wa miaka 28 ana kitambi kama nn sijui..tena awa wa wamaofisini ndi mnajiachia sana bahat yenu mna ela ndomana......Hivi wale MA brother men wanaopostigi picha mkiwa kifua wazi mnamlingishia nani vititi vyenu?? au mnataka tujue kua na nyinyi mna vichuchu saa 6??
.....!!!