wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Mmmhhhhh
Baasi tu sasa ntafanyaje
kamsemee kwa mama yake!!
Mi sioni hata kama kuna ugumu hapo.
Kwakuwa ndio mko hatua ya awali c vibaya ukamwambia kwan endapo hiki kitakushinda je kikitokea kitu zaidi ya hiki usichokipenda utafanyaje?
sina budi kufanya hivyo, ila wakati mwingine nahisi kama ntamkera ni kimfungukia live, so natafuta angalau kanjia soft kasicho peleka hisia yake mbali.