Hiyo ni estate?basi mi nikajua mwanza ndo tunaongoza kwa kujenga milimani kumbe na wengine wapo
Nyumba nyekundu,wakazi wekundu!
naona kama hawajipi tabu na gharama za architect
Mbona sioni kama kuna vyoo!
basi mi nikajua mwanza ndo tunaongoza kwa kujenga milimani kumbe na wengine wapo